CHADEMA kuiacha CCM ifanye mkutano wake

Emma.

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
19,932
5,560
Wana JF.
Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA )Mkoani Rukwa limetangaza kuwa hawatakwenda kuzuia mkutano mkuu wa CCM unaotarajia kufanyika Julai 23 mjini dodoma.
Mwenyekiti wa Bavicha mkoani humo Aida Khenan amesema wametii agizo la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe la kuwazuia kwenda dodoma.
"Tumeheshimu agizo la Mbowe ambalo limejaa busara na hekima kubwa japokuwa tulikuwa tayari kwenda Dodoma "amesema Khenan ambaye pia Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema )
Katibu wa Bavicha mkoa wa Rukwa Deogratis Kashatila ameishauri serikali ya CCM isivizuie vyama vya siasa kufanya mikutano kwa kuwa nchi ilisharidhia mfumo wa vyama vingi kwani ni kinyume na katiba
 
Wana JF.
Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA )Mkoani Rukwa limetangaza kuwa hawatakwenda kuzuia mkutano mkuu wa CCM unaotarajia kufanyika Julai 23 mjini dodoma.
Nyamaza mkuu hii mambo ni mdogo mdogo haiitaji asira.hili tuwapumbaze lazima tutoe tamko kama hilo lakini lazima twende 21 -22 kujipanga na polisi hili tuwasaidie vema bila shuruti.

swissme
 
Mbowe alitumia busara kutuzuia kwani tulikuwa tumeshajiandaa
Nyamaza mkuu hii mambo ni mdogo mdogo haiitaji asira.hili tuwapumbaze lazima tutoe tamko kama hilo lakini lazima twende 21 -22 kujipanga na polisi hili tuwasaidie vema bila shuruti.

swissme
 
Back
Top Bottom