Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 19,149
- 43,095
Kufutika ? jibu ni hapana ....CHADEMA haitafutika ila mpasuko wake kwa hizi tofauti za Mbowe na Lissu utakiporomosha sana na kwalo maana yake 2025 ELECTION Tanzania inaingia bila chama strong cha kuweka candidate strong kugombea URAIS...
Maswali????
1.Is what happening a Natural cause of political Tabulance in CHADEMA..
2.Is this Money made Conflict to benefit the other parties.
The jury is out...
Binafsi huwa siamini MBOWE ni mpinzani genuinely never...historia ya familia yake na ukaribu wake na watawala wa Tanzania hadi kufikia baba Mkwe wake akiwa Gavana wa bank kuu kumshauri Nyerere japo wananchi 80% wamepinga vyama vingi ni lazima vianzishwe ama sivyo Uchumi wa Tanzania uta collapse kama Western contries hasa WORLD BANK NA IMF wataweka vikwazo vya uchumi....na kazi hiyo ya ku form "TWO FAKES OPPOSITION PARTIES" kupewa MZEE MTEI NA MZEE MZENA na ili kweli kuwaaminisha west kuwa it's serious mzee mtei akajiuzulu u GAVANA WA BANK KUU NA KUANZISHA CHADEMA kuonyesha "eti" ana hasira sana na mageuzi na NCCR MAGEUZI nayo ikaanzishwa ikiwa na maafisa usalama kibaooo.....
Hilo lilifanywa kulinusuru taifa kugomea vyama halafu UCHUMI UWE BYE BYE NA Hata serikali kuporomoka.....
Sasa ukianza kuifutilia hiyo ngoma kuanzia hapo ndio mimi binafsi huja na CONCLUSION KUWA MBOWE NA WENYEVITI WOTE WA CHAMEDEMA WALIOPITA sio wapinzani bali ni WATU WENYE NIA NZURI Na TANZANIA kuhakikisha TAIFA LINABAKI NA AMANI NA HATUWI KAMA KENYA AMA DRC CONGO KWA WENYEWE KWA WENYEWE KUPIGANA CIVIL WARS ambazo huishia kunufaisha WAZUNGU...
Maana Vyama vingi Africa vilikuwa pushed na west ili kutumika kuwagawa Waafrika ndani ya nchi zao ili WEST i pick weak politically sides na kuleta machafuko ndani ya nchi ya KUWATISHA WALIO MADARAKANI na hofu ikowapanda inawa offer way out kwa mkataba wa kuwaibia pakubwa saana tu pa kuweza kulipa gharama za kuwaendesha wapinzani wanaoishi kwa pesa zao na wao west kuneemeka hivyo MTAPIGWA PAKUBWA SANA....
Machafuko ya kisiasa hutengenezwa na west kwa lengo hilo la wizi...
Demokrasia In third world countries is a conspiracy to devide and rule inflicted by western countries....kwa lengo la kuendelea kupora mali mnapokuwa hamko stable...
MIFANO...
1.LIBYA...jamaa wanachota mafuta pale watakavyo tangu the fall of Gaddafi
2.IRAQ .....huko nako wakubwa wanachota mafuta na madini watakavyo maana wameweka watu wao madarakani na watu wao ni puppets wa wakubwa maana ndio wanaowalinda kuwa hapo juu na wana furaha kutumika hivyo maana accounts zao USWISI ZINANONA....
Hili ni Fumbo la imani....
Utafumbua kwa formula zako uelewa wako na kwa kujipa jibu kipi kwako wewe ni kwa maslahi ya Taifa na maslahi yako binafsi...
Kukusaidia kuamua vyema....
TAFUTA TAFSIRI YA NENO AMANI YA TAIFA....ujue faida zake na hasara zake amani ikokosekana...Waza ufanyacho sasa hivi kukupa rizkki halafu VUTA PICHA KUWA HAKUNA AMANI KATIKA TAIFA kama you will be the same again
Ni rahisi saana Kulewa uwepo wa AMANI ila try civil war ndio utajua hujui...
Na civil war huumbwa taratibu kwa Watumika wachache wasipokuwa CONTROLLED NA DOLA na kuachwa Waka influence the mass population katika Taifa na kila mtu kujiona ni RAIS...RC....DC...DIWANI NA MBUNGE...
When the country loose ORDER OF LEADERSHIP hapo ndio M23 huzaliwa....