Chadema kufanya mkutano wa hadhara trh 23.9.19

nyabhera

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
660
729
Baada ya kuzuiliwa kwa muda mrefu kunya mikutano ya hadhara Bavicha Kahama imeandika barua na kutoa tamko kuwa kama kesho tarehe 22.09.19 CCM wataruhusiwa kutufanya mkutano wa CCM ya kijani na wao watafanya mkutano wa CHADEMA YA Nyekundu siku inayofuata yaani tarehe 23.

Tusubiri tuone. Tayari vipeperushi vimeanza kusambazwa.

IMG-20190920-WA0065.jpeg
View attachment KAHAMA NYEKUNDU 2.pdf
Screenshot_20190921-194208.jpeg
 
Back
Top Bottom