Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 2,786
- 7,567
Wakuu,
CHADEMA kupitia Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara, Amani Golugwa watoa ratiba ya mikutano ambayo wanatarajia kufanya kuanzia Machi 23, ambapo
Machi 23: Pamoja na mambo mengine, kwenye mkutano huu ambao unatarajiwa kufanyika Mbeya Mjini, watawapokea wanachama wapya pamoja na kuwapokea waliokuwa wanachama wao wa zamani. Ambapo wamesema wanachama wengie ni walikuwa waandamizi sana.
Je, akina Mdee kurejea CHADEMA?
Baada ya Machi 23 kutakuwa na timu mbili ambapo timu ya kwanza itaongozwa na Lissu na timu nyingine itaongozwa na Heche, watakaokuwa wamegawanyika kwenye majimbo na kisha kukutana katika mkutano tar 29, Iringa.
Baada ya tar 29 kutakuwa na mapumziko ya sikukuu za Eid, na baada ya hapo tar 4 paka 10 Aprili kutakuwa na mikutano kanda ya kusini, halafu kanda ya kati (12-13 April), kanda ya magharibi (14-17 April), kisha kutakuwa na mapumziko ya Easter tar 18 -21, na tar 22 Aprili wanaendelea kanda ya Viktoria (22-24 April), serengeti (26-28 April), kaskazini(29 - 3 May), Pemba (4, May), Unguja (5 May), 7 - 10 May watakuwa wanahitimisha mzunguko wao wa kwanza kwenye kanda ya Pwani.
Hii ni ziara ambayo itawapeleka nchi nzima wakisema hakuna sehemu ambayo itaachwa na kauli mbiu ya msingi ikiwa "Bila Mabadiliko Hakuna Uchaguzi"
Mkutano huu na waandishi wa habari umefanyika katika ofisi ya Makao Makuu ya Chama Mikocheni, Dar.