PreGE2025 CHADEMA kufanya mikutano kuanzia Machi 23, 2025. Kupokea wanachama wapya na wa zamani. Kina Mdee kurejea?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
2,786
Reaction score
7,567
Wakuu,

CHADEMA kupitia Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara, Amani Golugwa watoa ratiba ya mikutano ambayo wanatarajia kufanya kuanzia Machi 23, ambapo

Machi 23: Pamoja na mambo mengine, kwenye mkutano huu ambao unatarajiwa kufanyika Mbeya Mjini, watawapokea wanachama wapya pamoja na kuwapokea waliokuwa wanachama wao wa zamani. Ambapo wamesema wanachama wengie ni walikuwa waandamizi sana.

Je, akina Mdee kurejea CHADEMA?

Baada ya Machi 23 kutakuwa na timu mbili ambapo timu ya kwanza itaongozwa na Lissu na timu nyingine itaongozwa na Heche, watakaokuwa wamegawanyika kwenye majimbo na kisha kukutana katika mkutano tar 29, Iringa.

Baada ya tar 29 kutakuwa na mapumziko ya sikukuu za Eid, na baada ya hapo tar 4 paka 10 Aprili kutakuwa na mikutano kanda ya kusini, halafu kanda ya kati (12-13 April), kanda ya magharibi (14-17 April), kisha kutakuwa na mapumziko ya Easter tar 18 -21, na tar 22 Aprili wanaendelea kanda ya Viktoria (22-24 April), serengeti (26-28 April), kaskazini(29 - 3 May), Pemba (4, May), Unguja (5 May), 7 - 10 May watakuwa wanahitimisha mzunguko wao wa kwanza kwenye kanda ya Pwani.

Hii ni ziara ambayo itawapeleka nchi nzima wakisema hakuna sehemu ambayo itaachwa na kauli mbiu ya msingi ikiwa "Bila Mabadiliko Hakuna Uchaguzi"

Mkutano huu na waandishi wa habari umefanyika katika ofisi ya Makao Makuu ya Chama Mikocheni, Dar.
 
Naibu Katibu Mkuu anahutubia waandishi wa habari. Kikubwa ni kuanza kwa mikutano mikubwa ya hadhara kanda zote. Mikutano hiyo itaanzia kanda ya Nyasa Jijini Mbeya. Mikutano itaanza tarehe 23 March 2025.

Katika maelezo yake amesema mikutano hiyo haitakuwa na watu wa kukata viuno kama wanavyofanya CCM bali watatumia muda mwingi kuwaelemisha wananchi kwa hoja nzito.

Katika mkutano wa Mbeya watawapokea wananchama wapya na wapo wanachama wa zamani wanaoomba kurudi kundini.
 
CHADEMA NI WALAGHAI SANA CHAMA KIMEPOTEZA MVUTO KABISA.
 
Chama hakina mvuto sawa. Huo ulaghai unatoka wapi na wanamfanyia nani? Neno ulaghai unalijua maana yake? Kati ya ccm na chadema kipi ni chama lagha kama unajua maana ya uaghai.
Usiropoke unatia aibu
 
Naibu Katibu Mkuu anahutubia waandishi wa habari. Kikubwa ni kuanza kwa mikutano mikubwa ya hadhara kanda zote. Mikutano hiyo itaanzia kanda ya Nyasa Jijini Mbeya. Mikutano itaanza tarehe 23 March 2025.

Katika maelezo yake amesema mikutano hiyo haitakuwa na watu wa kukata viuno kama wanavyofanya CCM bali watatumia muda mwingi kuwaelemisha wananchi kwa hoja nzito.

Katika mkutano wa Mbeya watawapokea wananchama wapya na wapo wanachama wa zamani wanaoomba kurudi kundini.
Kutokana na ukubwa wa Chadema pamoja nakutopewa coverage kubwa na main strain media tunashauri wenye shughuli zingine zozote wazifanye mapema kabla ya hiyo tarehe ili wasije kujilaumu kwakutokufuatiliwa.
 
Dr.Slaa anarejea rasmi ndio maana wamesema "waandamizi wa zamani".
 
Wakuu,

CHADEMA kupitia Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara, Amani Golugwa watoa ratiba ya mikutano ambayo wanatarajia kufanya kuanzia Machi 23, ambapo

Machi 23: Pamoja na mambo mengine, kwenye mkutano huu ambao unatarajiwa kufanyika Mbeya Mjini, watawapokea wanachama wapya pamoja na kuwapokea waliokuwa wanachama wao wa zamani. Ambapo wamesema wanachama wengie ni walikuwa waandamizi sana.

Je, akina Mdee kurejea CHADEMA?

Baada ya Machi 23 kutakuwa na timu mbili ambapo timu ya kwanza itaongozwa na Lissu na timu nyingine itaongozwa na Heche, watakaokuwa wamegawanyika kwenye majimbo na kisha kukutana katika mkutano tar 29, Iringa.

Baada ya tar 29 kutakuwa na mapumziko ya sikukuu za Eid, na baada ya hapo tar 4 paka 10 Aprili kutakuwa na mikutano kanda ya kusini, halafu kanda ya kati (12-13 April), kanda ya magharibi (14-17 April), kisha kutakuwa na mapumziko ya Easter tar 18 -21, na tar 22 Aprili wanaendelea kanda ya Viktoria (22-24 April), serengeti (26-28 April), kaskazini(29 - 3 May), Pemba (4, May), Unguja (5 May), 7 - 10 May watakuwa wanahitimisha mzunguko wao wa kwanza kwenye kanda ya Pwani.

Hii ni ziara ambayo itawapeleka nchi nzima wakisema hakuna sehemu ambayo itaachwa na kauli mbiu ya msingi ikiwa "Bila Mabadiliko Hakuna Uchaguzi"

Mkutano huu na waandishi wa habari umefanyika katika ofisi ya Makao Makuu ya Chama Mikocheni, Dar.
Mpango mzuri sana.
Tatizo litakuwa hapo kwa chama TWAWALA, watakuja na hoja na matamko ya kila namna pia visingizio vya kutosha ili kuhakikisha hii mikutano haifanyiki.
 
Back
Top Bottom