Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 2,786
- 7,567
Wakuu,
Fisiemu hatujaacha kukusanya saini banaa! G55 aibu yenu
Watanzania tutafikisha saini milioni 30 afu tukae paleee tuwacheki chama cha mambuzi mnavyopaparuka
Soma > Heche: Wagombea wa Ubunge CHADEMA kukusanya Saini milioni 15 kupinga Wizi wa Uchaguzi

Heche awaambiwa wanachamdema waendelee kusambaza fomu za petition ili wafikie adhma yao ya kupata saini milioni 15 iliwazipeleke umoja wa mataifa kuonesha watanzania wanapinga uchaguzi wa wizi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akiwata kuongeza nguvu zaidi kwani sasa kuna juhudi zinafanyika kuhakikisha wananchi hawasaini fomu hizo na kufikisha idadi waliyokusudia.
Fisiemu hatujaacha kukusanya saini banaa! G55 aibu yenu
Watanzania tutafikisha saini milioni 30 afu tukae paleee tuwacheki chama cha mambuzi mnavyopaparukaSoma > Heche: Wagombea wa Ubunge CHADEMA kukusanya Saini milioni 15 kupinga Wizi wa Uchaguzi