CHADEMA kuendelea kukusanya rambirambi ni kiburi au ni njia ya upigaji?

jingalao Tatizo lako unapenda kujitoa ufahamu kwa kushadadia mambo ambayo hata hujui chanzo chake. Aliyekwambia kuwa Chadema inaendelea kukusanya rambi rambi kwa matajiri ni nani?

Je, mkuu wa mkoa akiitwa na wale watu waliokuwa wametoa ahadi, asiende kuchukua kwa sababu zoezi limeshafungwa?
 
Aliekwambia msiba huwa unaisha ni nani? Ifike mahali tujitambue na tusiwe mapunguani, mimi mama kafariki miaka 19 iliyopita lakini mpaka leo bado nina msiba na majonzi, Subiri ufiwe na mtu wa karibu ndio utajua msiba huwa hauishi
 
kwani jaman rambirambi ni lazima.kwanza me naona unamrudisha tu mfiwa kuendelea kukumbuka yaliyomkuta.me naona ni kutafuta kiki tu halafu raia tusielewane cc
 
Mbona roho inakuuma sana?au mlitka mzipige?
 
Aliekwambia msiba huwa unaisha ni nani? Ifike mahali tujitambue na tusiwe mapunguani, mimi mama kafariki miaka 19 iliyopita lakini mpaka leo bado nina msiba na majonzi, Subiri ufiwe na mtu wa karibu ndio utajua msiba huwa hauishi
msiba hauishi lakini rambirambi zina ukomo!
 
Kama anakusanya kimya kimya wewe umejuaje?Au yeye mwenyewe amekuambia kuwa anakusanya kimya kimya?
Nyie watu leo mnachekesha,nyuzi zenu leo ni za kujitekenya!
Nasikia wameahidiwa binasi pale lumumba
 
Ccm hawajitambui na kwa sasa tunafurahi maana jamii sasa ndiyo inawajua ccm walivyo
 
Kwa hiyo Marehemu Ndesamburo(RIP) aliahidi kutia rambirambi?unaweza kutuambia aliahidi lini na wapi na kwa nani?
 
Sasa kwanini unaita "kimya kimya"? Au wewe kutokujua ndio tafsiri ya kimya kimya???
Sio mimi tu bali hata nyie wanachadema hamkujua ...siku ile mnataka kuwasilisha rambirambi mbele ya camera kulikuwa na ahadi ya Ndesamburo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…