CHADEMA kuanza ziara Mara

CHADEMA kuanza ziara Mara

Lai Otieno

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
311
Reaction score
90
Team nzima ya Chadema Mara chini ya Mhe (Mb)Vincent J Nyerere akiwa pamoja na viongozi mbali mbali leo watahutubia wanainchi wa maeneo ya Nyakatende hii ni kuanza kuwa ziara ya mkoa mzima wa Mara.
 
Mods unganisheni hii thread na "Mh Vincent Nyerere ziarani Musoma vijijini"
 
team nzima ya chadema mara chini ya mhe (mb)vincent j nyerere akiwa pamoja na viongozi mbali mbali leo watahutubia wanainchi wa maeneo ya nyakatende hii ni kuanza kuwa ziara ya mkoa mzima wa mara.

atakuwa na viongozi gani sasa kamanda?
 
m4c ipigwe marufuku tunapoteza watz wenzetu kwenye vurugu ziszokuwa na msing
 
M4c ni mwiba mkali mno na mchungu sana kwa magamba poleni magamba poleni policcm.
 
Back
Top Bottom