CHADEMA kinazidi kupoteza umakini

wamekua sifuri baada ya kuwataadharisha CUF kwamba wamejiunga na umoja unaosupport ushoga sio...? in other words wewe unaona ni sawa CUF kuwa kwenye huo umoja sio....Hiki kizazi chetu hichi...medulla hazifanyi kazi kabsaa
 
Nafikiri kubwa siyo CHADEMA na CUF wameongea nini bungeni, kilichofanyika bungeni ndiyo picha na jinsi ya namna ya mtanzania wa leo (Karne hii)tulivyo tabia yetu na namna yetu kwa ujumla. Kwa maana nyingine tunapaswa sasa kujua na kutambua ya kuwa mtanzania wa kizazi cha leo siyo mvumilifu wala mwenye subira na upendo wa undugu kama ilivyokuwa siku za nyuma,mtanzania wa leo ni mwenye jaziba,asiyekuwa tayari kumwelewesha ama kumwelekeza mwenzie anapokuwa amefanya jambo kinyume ama kwa makusudi au kutokuelewa,pia ni mtanzania asiyekuwa tayari kumsikiliza mwenzake anapokuwa anamsahihisha na kwa kifupi mtanzania hayuko tayari kukosolewa.hivyo tuelewe sasa kizazi cha kivumiliana na kukosoana kilipita ni kizazi cha MWALIMU NYERERE hakipo tena kwenye nafasi za uongozi na utawala kwa ujumla.waliopo kwenye nafasi za uongozi kwa sasa ni kizazi kingine ndiyo maana kumekuwepo na matukio mengi na ya namna nyingi mabaya na ya kusikitisha na ambayo hatukuzowea kuyaona.hivyo tunapaswa kujitambua kama watanzania sisi ni watu wa namna gani tukiisha kujitambua ndipo tunaweza kuishi tena maisha ya kizazi cha leo,navyo vyombo vya Dola vitambue ya kuwa vinadili na watanzania wa jinsi gani wabadilishe namna na na mbinu za kukabiliana nao maana siyo wa Enzi zile tena . Hiki ndicho kizazi cha leo.
 
kwa mwenedo wa chama cha chadema ulivyo sasa kweli hakina umakini tena wamelewa sifa sasa wamegeuk kutojali jambo lolote ambalo ni hatari kama lugha za kuudhi na matusi. Lazima viongozi wa chadema wajitafakari they are going to grave
.
Biashara matangazo we vipi?
 
Matakwa ya cuf ilikuwa ni kuishitaki cdm na bunge kwa kutukanwa, ilikuwa je tena mpaka wakawa watu wa kuomba radhi leo, unajuwa kwa waTZ ninavyowajua siyo tatizo kujiunga na kitu kwa mkumbo tu bila kuelewa manifest, mimi ninafikiri waishukuru cdm kwa kuwafumbua macho wakalifanyie kazi na wala sio kulaumu. Ninakumbuka kuna kipindi fulani niliwahi kumshuhudia Mh Jussa yule wa zanzibar akikinadi chama chake kwenye TV akinadi ideology ya chama chake akisifia uliberali sasa jana nikashangaa sana walivyo ruka kihunzi poleni jamani!
 
mtu makini nani wewe mwizi wa simu unalishwa bwaba na wanaume wenzio walio makini wanafahamu kazi yao
 
hawa jamaa ni mburura mno,yaani hawana umakini na wala hawaeleweki ktk nchi wao wanalingania nn hasa
Mara,rais hatumtambui.... Leo...
Mara,posho hatuchuki.... Leo...
Mara.dj wao gari la kifahali silitaki ....leo
Mara..tunajitoa kwenye mchakato wa kupata katiba mpya ....leo...
Mara.tunamshitaki spika na naibu wa wtz ili wajiuzuru hatimae wakaishia kumtumia sms za matusi...leo wako chini yao akiwaongoza mjengoni
Na mengine kibao.. Ya utumbo
 
Tatizo la mleta uzi jambo hasipolielewa vizuri anafikiri ni kukosa umakini. Uelewa wake umeishia hapo.
 
kwa mwenedo wa chama cha CHADEMA ulivyo sasa kweli hakina umakini tena wamelewa sifa sasa wamegeuk kutojali jambo lolote ambalo ni hatari kama lugha za kuudhi na matusi. lazima viongozi wa CHADEMA wajitafakari they are going to grave

atakua mliberali huyu!
 
na bado wataendelea kuwa chini mpaka washike adabu zao hawaeleweki kama k
 
Chadema mwenye view ni Zito waliobaki magarasa Angalia anavyochangia hoja Zito ila chama Hana wahuni wanamuaibisha Zito
 
Uliberali wa CUF ndio uliowaunganishe na CCM ila watuambie ni nani aliyeolewa na muoaji ni nani. CHADEMA wamefanya vizuri kuliweka hili wazi maana hata wale wabunge waliokuwa wanapiga kelele hawakujua hali halisi ndio maana baada ya kupewa ushahidi wakafyata mkia. CHADEMA kuwaomba radhi ni kuwastahi tuu lakini ukweli wa itikadi wa uliberali wao upo palepale, kinachoigharimu CUF ni kuwapa nafasi ya ugombea ubunge vihiyo.
 
Jikazeni hivyo hivyo watanganyika,hamko mbali kuzalisha wakimbizi kwa siasa zenu maji taka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…