CHADEMA kimenuka Mbeya

Laiti kama ungelijua yaliyomkuta magufuli huko mbeya leo wala usingepost kitu leo,maana ni aibu kazomewa mpaka akawa anajipapasa mwili mic iemekuwa mzigo,watu lowasa lowasa tunataka mabadiliko sio kwako kwa Lowasa
 
Urais ni taasisi ya kutumia akili wala si nguvu! push up za magufuri anafaa kuwa mlinzi wa ikulu na si rais.
 
Magufuli hawezi kurudi tena Mbeya we gamba hatasahau yalio mkuta niko MBY
 
MzikiWaMagufuli umeanza kuwashinda.....Mnaanza kuchanganyikiwa baada ya kufanya harambee iliyotumia millioni 150 kuifanikisha katika ukumbi wa Mlimani City zikapatikana Milion 80 kwasasa mmeanza kusalimu amri kwa kufanya mikutano mingi zaidi nyumbani kwa viongozi wa juu wa CDM huku DKT. MWANAHISABATI NA KEMIA akiendelea
 
Yaani kimjamaa kimejiunga hizi Tu kupost utumbo! Bodaboda Cdm wapi na wapi kisiasa.
Cdm inataka kusaidia bodaboda bila kujali Ni chama gani.
 
Magufuli kilichomkuta leo mbeya sijawahi ona. Misimamo iko huku bana.
 

Sio Sugu tena kuhamia CCM kama mlivyokuwa mmetapakaza?
 

Opinion polling for Tanzania General Presidential Election 2015
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100"]
[TR]
[TD="width: 120"]
Mh. Dr. John Pombe Magufuli (CCM)
[/TD]
[TD][/TD]
[TD="width: 40"]
16.8%
[/TD]
[TD="width: 30"]
2449
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 120"]
Mh. Edward Lowassa (CHADEMA)
[/TD]
[TD][/TD]
[TD="width: 40"]
81.9%
[/TD]
[TD="width: 30"]
11961
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 120"]
Other
[/TD]
[TD][/TD]
[TD="width: 40"]
1.4%
[/TD]
[TD="width: 30"]
199
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Total Vote 14609
- See more at: VOTE ONLINE FOR TANZANIA PRESIDENT | #VOTE4TPO | Mayocoo , Special Voting portal
 
jaman kuna mama ametukana kwenye gari walkua wanalumbana kati ya magufuli na lowasa nani apewe kura basi mama mmoja wa upande wa lowasa akasema hatuwez kumpa kura uncircumsized person.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…