CHADEMA kimenuka Mbeya


jaba likijaa maji linatulia....tulia bs jaba mbona muongo ka umezaliwa guest house..
 
Huyo anasema na yeye ni mratibu wa 4UM,hebu tuthibitishe halijatokea na picha hizo twaziona.Vinginevyo utakuwa mratibu wa watu wanaojinyea jukwaani.
 
 
Mbeya Leo asubuhi alipokuwa anaenda Mbarali Wananchi walizuia msafara wake na kumwambia wanataka mabadiliko na mtu wa kuyaleta mabadiliko ni Lowassa

youtube video
 
Wewe una stahili kich...po
 
Kinuke, kinukie, ni mabadiliko tu mpende msipende!
 
Hahah!!!! Nakukaribisha mbeya uje ujionee watu wenye msimamo we mjinga.. Ahame kutoka cdm to ccm my nose???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…