CHADEMA kimenuka Mbeya

Wangetembezewa kichapo kama wale wa Masaburi DSM. Haisaidii. Ni kampeni za ujima sana. Hiyo staili ndiyo inaiua ssm. Mwenzenu Lowassa na Ukawa ni kampeni za kistaarabu na kisayansi na atawanyuka vibaya kwa mbali.
 
baba yao magufuli anaendeleza mwendo wa ku copy na ku paste, na yeye sasa hivi kwenye majukwaa anasema anauchukia umasikini kweli kweli
 

Umejitahidi sana kiongozi ongeza tena!! Au uwezo wako umeishia hapo?
 
Kunya ni miongoni mwa tabia za kibayolojia. Kwahiyo wala si ishu . Ningeshangaa sana kusikia hanyi wala hakojoi. Ishu hapa ni wapi? Hiyo ni bahati mbaya imetokea ila angalu hajaonesha tabia nje ya zile za binadamu. Nishangaa sana km ningesikia amesimama angani bila kuegemea ardhi hapo ningeshangaa sana. Na pushupu mkono sweta ukingining'inia je itakuwaje
 
CCM haipo Mbeya!So far CCM watatetea kiti kimoja tu cha Busokela
 
Hivi we mtoa mada upo wapi?, jana umeandika ya lowasa . mara ya lema arusha, leo unaandika ya mbeya.
 



Unaijua Mbeya???Kamuulize Magufuli leo kilicho mkuta Uyole.Juzi mpaka Sugu mlisema amehamia CCM leo mmeona haikuvuka naona mnakuja kivingine....Duh ndiyo maana nikiona tarehe uliyojiunga napata jibu..........
 
Viva viva viva viva Lowassa makufuli tukimwangalia jicho la tano atakuwa mlinzi Ikulu coz kaanza mazoezi mapema
 

Dhibitisha kauli yako kwan mm ni miongoni mwa waratibu wa 4UM hapa mbeya manispaa na hakuna kitu kama hcho unachopost!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…