CHADEMA kimenuka Mbeya

Kaondoka Slaa sembuse wao.


Kila la kheri waendao
 

Halafu hata propganda hamziwezi,4um hawakuwahi kuwa chadema watahamaje
 
Mtasema mengi sana ila oktoba 25 CCM kupumzika ni lazima .
 

umetoa povu tho umechelewa sana
 
4um ni chama gani Mkuu?
 

Karibu sana kwenye Tanzania mpya ya magufuli mungu tunamshukuru kwa kuwAepusha na mpango wa shetani
 
Karibu timu kushinda na wale wanaozani MTU anajinyea na watu wa itifaki wanakubalo awe rais wapimwe akili,tu
 
Achaaa uwongoo mr watu tupoo mbeyaa walaaa hata hatuna mpango na mpigaa pushup
 

siku nyingine uwe una uliza kwanza unakurupuka sana jombaa utafikiri na ww hua unaingia mwezini..!!loll
 

Hizi Habari za kuvalishwa mamluki wa 4Umovement mbeya mbona ilishafichuka tangu juzi? Na haina impact. Na 4UMovement wa ukweli wataongea na media. SSM mnatapatapa sana. Subirini mnyolewe 25 October. Mtaomba Pooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…