CHADEMA kimenuka Mbeya

CHADEMA kimenuka Mbeya

jaba jumah

Senior Member
Joined
Sep 24, 2015
Posts
150
Reaction score
50
Viongozi wa 4um na viongozi wa boda boda wa mkoa wa mbeya wameamua kuhama chadema na kujiunga na ccm kutokana na mambo maovu yanayo endelea ndani ya chadema na ukawa kwa ujumla hali hyoo imekwa ikiendelea kwa muda mrefu jambo ambalo limepelekea sintofaham ya viongoz hao wa 4um na kushindwa kueshimiana kati ya viongozi wa cdm na viongoz hao wa 4um kwa kauli yao moja wamesema watahakikisha wanampigania dr, magufuli na kumnadi nyumba kwa nyumba hadi kieleweke na mwishowe kuibuka na ushindi wa kimbunga,,,, tumekuja pahala salama kabisa na sehem ya kwenda ikulu......................

TAARIFA KWA UMMA

Kumekuwa na uvumi na uzushi unaosambaa baada ya watu wasiotakia mema 4u Movement kufanya "press conference"na kujitambulisha kuwa wao ni viongozi wa 4u Movement mkoa wa Mbeya na wamehama kutoka 4u Movement friends of lowassa na kuhamia kwa Magufuli.

Uongozi wa 4u Movement imesikitishwa sana na uzushi huo,kwani Mratibu wa 4u Movement mkoa wa mbeya ambaye anatambulika kwa jina la Robert Elia na msaidizi wake Samwel Hume hawajahama 4u movement wapo na wanaendelea na majukumu yao ya kila siku.

Uongozi wa 4u Movement unawataka wanachama wake wote kuupuza uzushi huo kwani hauna mashiko wala ukweli wowote na ni dalili za watu walioishiwa mbinu na maarifa.

Imetolewa na

Vian Nchimbi
Mratibu Msaidizi Taifa

Utumishi
Uwajibikaji
Umoja
Uzalendo

www.4u Movement.com
 
We mtoa uzi acha uongo Mby cdm ipo imara sana japo cna chama
 
hii ndio product ya IT center Masaki. Vijana WA makamba na mwigulu
 
Viongozi wa 4um na viongozi wa boda boda wa mkoa wa mbeya wameamua kuhama chadema na kujiunga na ccm kutokana na mambo maovu yanayo endelea ndani ya chadema na ukawa kwa ujumla hali hyoo imekwa ikiendelea kwa muda mrefu jambo ambalo limepelekea sintofaham ya viongoz hao wa 4um na kushindwa kueshimiana kati ya viongozi wa cdm na viongoz hao wa 4um kwa kauli yao moja wamesema watahakikisha wanampigania dr, magufuli na kumnadi nyumba kwa nyumba hadi kieleweke na mwishowe kuibuka na ushindi wa kimbunga,,,, tumekuja pahala salama kabisa na sehem ya kwenda ikulu......................

Propaganda Za Uvccm Hizo Tumeisha Zizoea! Ata Wahamie Wote Ccm Sisi Msimamo We2 Ni Hulehule Wa Kumpeleka EL Ikuru.
 
Mwaka huu tutasikiana na kusoma sana habar za "Mabala the Famer" tafuten mbinu nyingine.
 
Hahaha hizo ni propaganda za ccm hata jangwani mulileta kiongozi feki wa bodaboda hatutashangaa hayo.ushahidi ni october 25 ndio mwisho wa mbwembwe zote
 
Viongozi wa 4um na viongozi wa boda boda wa mkoa wa mbeya wameamua kuhama chadema na kujiunga na ccm kutokana na mambo maovu yanayo endelea ndani ya chadema na ukawa kwa ujumla hali hyoo imekwa ikiendelea kwa muda mrefu jambo ambalo limepelekea sintofaham ya viongoz hao wa 4um na kushindwa kueshimiana kati ya viongozi wa cdm na viongoz hao wa 4um kwa kauli yao moja wamesema watahakikisha wanampigania dr, magufuli na kumnadi nyumba kwa nyumba hadi kieleweke na mwishowe kuibuka na ushindi wa kimbunga,,,, tumekuja pahala salama kabisa na sehem ya kwenda ikulu......................

Unafiki mtupu hakuna Chochote Mbeya.
kwa taarifa yako Mbeya hamtoki hata kwa nini.
 
Isee unajua tangu wakongwe LAKI si pesa MUSSA ALLAN na wengineo wahame team ya CCM Wwamesajiliwa chandimu ambao wanafikiri huku nako ni fb ndo maana kila siku wanapigwa ban.CCM byebye.
 
Last edited by a moderator:
Viongozi wa 4um na viongozi wa boda boda wa mkoa wa mbeya wameamua kuhama chadema na kujiunga na ccm kutokana na mambo maovu yanayo endelea ndani ya chadema na ukawa kwa ujumla hali hyoo imekwa ikiendelea kwa muda mrefu jambo ambalo limepelekea sintofaham ya viongoz hao wa 4um na kushindwa kueshimiana kati ya viongozi wa cdm na viongoz hao wa 4um kwa kauli yao moja wamesema watahakikisha wanampigania dr, magufuli na kumnadi nyumba kwa nyumba hadi kieleweke na mwishowe kuibuka na ushindi wa kimbunga,,,, tumekuja pahala salama kabisa na sehem ya kwenda ikulu......................
 
Upuuzi mtupu, tafuteni propaganda nyingine hizi za kizamani zimeshabuma.Lowasa ndiye chaguo la wengi
 
Viongozi wa 4um na viongozi wa boda boda wa mkoa wa mbeya wameamua kuhama chadema na kujiunga na ccm kutokana na mambo maovu yanayo endelea ndani ya chadema na ukawa kwa ujumla hali hyoo imekwa ikiendelea kwa muda mrefu jambo ambalo limepelekea sintofaham ya viongoz hao wa 4um na kushindwa kueshimiana kati ya viongozi wa cdm na viongoz hao wa 4um kwa kauli yao moja wamesema watahakikisha wanampigania dr, magufuli na kumnadi nyumba kwa nyumba hadi kieleweke na mwishowe kuibuka na ushindi wa kimbunga,,,, tumekuja pahala salama kabisa na sehem ya kwenda ikulu......................

Wewe!! CHUNGA SANA!
 
Back
Top Bottom