simon mato
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 926
- 485
Watu wanashangalia matumizi mabaya ya ruzuku eeeh!! Hamna ata aibuLeo hii katibu mkuu wa cdm mh Dr Mashinji atakuwa anahutubia mkutano mkuu wa mwaka wa chama rafiki cha CPP nchini Denmark kuhusu demokrasia na maendeleo,wakati hapa nyumbani tunapigwa pinView attachment 406513
Nyie hamumuogopi lowasa?kuna mtu anamwogopa mungu wake?
CHASO Dodoma. Hatutaki mazingaombe ya siku zoteMwenzako anaona hao ni wadenish. Na hapo ni Denmark.
Mkutano wa CHASO Dodoma umekuwa wa Denmark?
Ha ha ha, Mmawia kafulia.CHASO Dodoma. Hatutaki mazingaombe ya siku zote
Unajibaraguza, sio?Ameuliza nani?
China mrengo wa kunyonga watu na kuwafunga jela.CHADEMA kinafuta mrengo gani wa ideology?
Hicho chama kiumaarufu huko kwao ni afadhari hata CHAUMA hapa bongo. Yaani ukipeleka chaima huko, bado hiki kitakuwa chini ya chauma!Leo hii katibu mkuu wa cdm mh Dr Mashinji atakuwa anahutubia mkutano mkuu wa mwaka wa chama rafiki cha CPP nchini Denmark kuhusu demokrasia na maendeleo,wakati hapa nyumbani tunapigwa pinView attachment 406513
Halafu ni vinara wa ubaguzi wa rangi. Hawawapendi maforeigner hata kidogo. Yaani huyo Mashinji na ule uweusi wake sijui wanamuonaje.Hicho chama kiumaarufu huko kwao ni afadhari hata CHAUMA hapa bongo. Yaani ukipeleka chaima huko, bado hiki kitakuwa chini ya chauma!
Wadenish hawaongei kimombo wewe.Mashinji yupo anatema yai haswa,kimombo,kidhungu
Nani alikudanganya?Hujawahi kuishi huko,mashinji ana mwaga kidhungu balaaaaa