CHADEMA kimataifa zaidi

Nitajie rafiki yako nami nitakuambia tabia yako. Hii dhana ya vyama rafiki katika nchi hii inafikirisha na inaonesha haiba ya chama kwa kuangalia aina ya "marafiki" wa vyama kuanzia CCM, Chadema, n.k. Naomba niishie hapo.
 
Huhaeleweka ebu funguka tukuelewe
 
Nitajie rafiki yako nami nitakuambia tabia yako. Hii dhana ya vyama rafiki katika nchi hii inafikirisha na inaonesha haiba ya chama kwa kuangalia aina ya "marafiki" wa vyama kuanzia CCM, Chadema, n.k. Naomba niishie hapo.
Kwa mtazamo wako cdm kuwa na chama rafiki nje ya nchi ni dhambi?mbona ccm wana vyama rafiki nje ya nchi?
 
Mkuu, sizungumzii kuwa au kutokuwa na rafiki nje ya nchi. Nilichosema ni rahisi kujua tabia ya mtu au hata taasisi kwa kuangalia aina ya marafiki.
 
Huo ni mtazamo wako
 
Dah! Hii inawaongezeaje kura hapo 2020
 
Ningeshangaa kama ungeelewa......maana upeo wako kifikara unajulikana.
Huwezi kunielewa na daima hutokaa unielewe maana wewe na Lipumba akili zenu ni sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…