Chadema:kila anaepigania chama akitaka kugombea ........

mchambuzixx

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
1,292
Reaction score
946
mimi najiuliza hawa watu wanaokuja na falsafa kuwa tumepigania chama inabidi tupitishwe kugombea....jaman chama ni taasisi hivi kila anaepigania chama akitaka yeye apitishwe hicho kitakua chama tena maana kitakua na wagombea wa kudumu...chama hakisimamishi mtu kisa kapigania bali unasimamishwa kutokana na ushawishi wako na kupendwa kwako na watanzania....lengo la chama ni kuchukua dola kama lengo ni kugombea tu haya mnaruhusiwa kugombea.....huu ni muda adimu umewadia ni kusonga mbele tu hakuna kurudi nyuma ..hata kwenye mpira wa miguu kuna wengine ni wabinafsi wanataka kufunga wao tuu ila kinachotakiwa ni ushindi unaweza kufunga hata magoli 8 lkn kombe anachukua mwenzako kila cku wewe msindikizaji muda wa ushindi ni huu..tuache ubinafsi
 
Mimi ninayeandika hapa ninaitwa Arushaone. Nimekipigania chama tangu 1993. Sijawahi kutaka kuteuliwa kugombea nafasi yoyote.

Kwanini unataka kuwaaminisha wanaosoma thread yako uongo?

Unakosea sana!!

Kajipange upya ndorrrrrobo wa Lumumba wewe!
 
Last edited by a moderator:

Ulivyomuelewa wewe ni tofauti na nilivoelewa mimi.
 
Last edited by a moderator:
Mimi ninayeandika hapa ninaitwa Arushaone. Nimekipigania chama tangu 1993. Sijawahi kutaka kuteuliwa kugombea nafasi yoyote.

Kwanini unataka kuwaaminisha wanaosoma thread yako uongo?

Unakosea sana!!

Kajipange upya ndorrrrrobo wa Lumumba wewe!

Soma nilichoandika usikurupuke kutoa comment
 
Last edited by a moderator:
Mimi ninayeandika hapa ninaitwa Arushaone. Nimekipigania chama tangu 1993. Sijawahi kutaka kuteuliwa kugombea nafasi yoyote.

Kwanini unataka kuwaaminisha wanaosoma thread yako uongo?

Unakosea sana!!

Kajipange upya ndorrrrrobo wa Lumumba wewe!
Tumeanza kukuona jamvini baada ya 2010.

Hivi ike radio yako imekufa?

mimi nilikuwa nakuona ukiopigania radio yako tu na sio chama.
 
Last edited by a moderator:
Liwe funzo kwa wanasiasa wetu kumshambulia mtu badala yake ni vema washambulie mfumo wa kiutawala kama vile chama ama serikali pasipo kutaja majina ya watu hujui kesho mtakutana wapi.
 
mimi najiuliza hawa watu wanaokuja na falsafa kuwa tumepigania chama inabidi tupitishwe kugombea....jaman chama ni taasisi hivi kila anaepigania chama akitaka yeye apitishwe hicho kitakua chama tena maana kitakua na wagombea wa kudumu...chama hakisimamishi mtu kisa kapigania bali unasimamishwa kutokana na ushawishi wako na kupendwa kwako na watanzania....lengo la chama ni kuchukua dola kama lengo ni kugombea tu haya mnaruhusiwa kugombea.....huu ni muda adimu umewadia ni kusonga mbele tu hakuna kurudi nyuma ..hata kwenye mpira wa miguu kuna wengine ni wabinafsi wanataka kufunga wao tuu ila kinachotakiwa ni ushindi unaweza kufunga hata magoli 8 lkn kombe anachukua mwenzako kila cku wewe msindikizaji muda wa ushindi ni huu..tuache ubinafsi

Naipenda CDM kwa kuweka mgombea wa urais mpya kila uchaguzi. Cdm haijawahi kumrudia mgombea mara 2. Ccm igeni Cdm.
 
'Zitto Kabwe ni Fisadi kahongwa Mill 200 na Edward Lowassa'.-Saed Kubenea. Hahaha Pole sana Ndugu Zitto nisamehe sana kwa kuaminishwa Kimakosa juu ya jambo hili
 
Mbinu za vita baridi zimemshinda dk slaa angejifunza kwa osama aliipiga America kwakutumia ndege zake lowasa angendelea kuwa tochi mikononi mwake
 
Mimi ninayeandika hapa ninaitwa Arushaone. Nimekipigania chama tangu 1993. Sijawahi kutaka kuteuliwa kugombea nafasi yoyote.

Kwanini unataka kuwaaminisha wanaosoma thread yako uongo?

Unakosea sana!!

Kajipange upya ndorrrrrobo wa Lumumba wewe!
Mkuu ninachokiona hapa wewe umeishia kusoma heading tu na ndio maana umeweza kuandika ulichokiandika.
 
Back
Top Bottom