Chadema kikiendelea hivi kitakufa natural death

Guys let us talk and argue about issues, kuingi jamii forum mwaka 1961 au 2011 doesnt really make any difference! VUA GAMBA, LAT hii sio forums ya kutaja kwa ufahari viungo vya miili vya ndani.... shame upon you guys! This forum is very critical for the development of this country. Hisia zenu zinaeleweka lakini zinazuilika. I advise to you.... ( mnaweza mkatukanana mnavyoweza through private messages in your mail boxes, mtaziona nyie wawili na Mods tu).
Mods kama unashindwa kuwa ban hawa jamaa wawili lazima utakua na matatizo! wamekuhonga? unaogopa nini? au kuna times unafurahia huo upupu? sasa jinsi ulivyokua makini utani BAN mimi!!!!! Blessings
 
Guys let us talk and argue about issues, kuingi jamii forum mwaka 1961 au 2011 doesnt really make any difference! VUA GAMBA, LAT hii sio forums ya kutaja kwa ufahari viungo vya miili vya ndani.... shame upon you guys! This forum is very critical for the development of this country. Hisia zenu zinaeleweka lakini zinazuilika. I advise to you.... ( mnaweza mkatukanana mnavyoweza through private messages in your mail boxes, mtaziona nyie wawili na Mods tu).Mods kama unashindwa kuwa ban hawa jamaa wawili lazima utakua na matatizo! wamekuhonga? unaogopa nini? au kuna times unafurahia huo upupu? sasa jinsi ulivyokua makini utani BAN mimi!!!!! Blessings
Technolgy, Huwa nashangaa sana kuna watu humu wanatukana tu hovyo wala awapati BAN, ngoja niku- PM
 
Gamba lilipoanza kuwasha
Chama kilichojiita eti cha demokrasia na maendeleo, kimebainika kuwa hakina demokrasia yoyote. Kwenye maandamano ya Arusha walishawishi watu kuingia mtaani kusaka haki zao (mimi sikuenda kazini ili nishiriki kikamilifu)
mbunge tuliyemuamini sana Godless Lema akasisitiza kuwa ni heri kufa ukiwa unapigania haki yako kuliko kufa kwa malaria au typhoid (ushahidi ninao).
Mary chatanda alitupiwa lawama akionekana ndiye tatizo, na watanzania wengi tukalazimishwa kuamini hivyo bila kujua upande wa pili kuwa viongozi wa kitaifa wa chadema walikuwa sehemu ya tatizo.
Chadema walitumia kigezo cha Marry Chatanda kupiga kura kuharamisha matokeo, wakati wao walimtumia Lucy Owenya wa Moshi mjini kupiga kura kumchagua m/kiti wa halmashauri ya HAI.
Jamani huu ni unafiki usiomithilika. Yani kutujaza ujinga wakati mnaujua ukweli ni dhambi hata mbele ya Mwenyezi Mungu.
Lakini kilichonisikitisha zaidi ni kuona eti chadema wamekubali matokeo ya umeya wa Arusha kwa kushauriwa na Kohler.
Huku ni kuzisaliti roho za mashujaa wetu waliotupigania, na kuwakatisha tamaa wananchi tuliokuwa nyuma yenu.
Nasisitiza kuwa ikiwa CHADEMA wataendelea hivi, chama hiki kitakufa NATURAL DEALTH.
Akaamua kulivua
sihamii CCM wala CUF. Nitaendelea kubaki CHADEMA, lakini nitasimamia ukweli daima.
Lakini gamba likaanza kubana
Sasa naamini kile nilichokuwa nadhania kwa muda mrefu tangu nijiunge na CHADEMA, kuwa chama hiki hakitetei maslahi ya umma, bali kinatumia nguvu ya umma kutetea maslahi ya wachache (viongozi ambao wengi wao ni wachaga).Nashukuru kuwa umetamka mwenyewe kuwa CHADEMA walikuwa wanataka madaraka Arusha, na si kutetea wananchi. Mnaua wananchi, mtamuongoza nani.? Kama mmeua watatu jwa kupigania umeya, kwenye urais si mtaua nusu ya TANZANIA?? Demokrasia gani hiyo ya kinafiki.?Hoja zako ni mufilisi ndugu yangu. Eti ulitaka wananchi wa arusha waendelee kuteseka? Kwani wakati mnayafanya hayo hamkujua mtawatesa wananchi?? That is weak argument. WANAFIKI WAKUBWA nyie!
Gamba mara hilo, lagoma kuvuliwa
elimu ya watu wazima alihudhuria mama yako maana alikuzaa hajui kusoma. You young boy, never ever try to compare my thinking capicity with your foolish idea.You idiot, it's better to keep quet and peope to think that you are foolish, rather than to speak and remove all doubts.
Duh, kweli gamba si mchezo, halivuliki !
Nakubaliana na mawazo yako ka kiasi kikubwa, but legal procedures haziruhuru kutafuta HAKI yako KWA KUVUNJA HAKI ZA WENGINE.Halafu jambo la pili, mbona CHADEMA hawataki kusema ukweli kuhusu kumtumia LUCY OWENYA kupiga kura Hai wakati jimbo lake ni Moshi mjini?Kama Chatanda alivunja taratibu za kisheria kupiga kura Arusha, basi hata Owenya alivunja kwa kupiga kura Hai.Kwanini la Owenya halikuonekana tatizo bt la Chatanda likavaliwa njuga? Jibu sahihi ni kuwa yalikuwepo maslahi ya kisiasa nyuma ya pazia. CHADEMA walikuwa na uchu wa madaraka na si nia ya kweli ya kuwasaidia wakazi wa Arusha.
Nape, kazi unayo lakini magamba mtazikwa nayo.
 
Heri wewe umegundua utokako na uendako,hivi wale waliokufa kwa ushawishi wa kijinga leo hii kama tukiwapelekea meseji ya nini kinaendelea halafu tuwahuishe na tuwape kadi za chadema unafikiri watazikubali? hiyo ndio mission town, watu wanaishi kwa migongo ya watu.wewe kufa mimi nisurvive. watu watashawishiwa kufanya maandamano haramu ili wajanja wapate la kusema na wajinga waishie selo au kufa.
Thanx kwa kuliona hilo!
 
"tutaendelea kuandamana usiku na mchana hadi haki zetu zitakapopatikana" kamanda lema.
WAR FRONT CHADEMA LETS GO!
 
Halafu ni ajabu kweli 'eti unaponda CDM siyo chama cha Democrasia kisa wamekubali kuelewana na ccm maana yake ni kuwa CDM Wakigoma kufanya mazungumzo ndo watakuwa ni chama cha Democrasia!? Swala la Chatanda na Owenya,sheria zipo wazi mbunge wa viti maalumu anachagua awakilishe halimashauri gani ilimradi itoke mkoa anaowakilisha kama mbunge viti maalumu.Owenya anawakilisha Moshi wakati Chata ni viti Maalumu Mkoa wa Tanga,sasa hili nalo unahitaji kuwa na Degree kulijua?!
 
Mara nyingine mpe Nape aliyekutuma ausome mchango wako katika mada unayoichangia kabla ya kuiposti maana ulichoandika hapa ni uharo unaotokana na kuvimbiwa viporo vinavyotupwa jalalani na maswahiba wenu - Mafisadi! Mwambie Nape, Mukama, JK na woote waliokusajili kwamba kipindi cha watanzania kudanganyika kimeisha na kwamba kwa sasa Hatudanganyiiiki.
 
Sasa naamini kile nilichokuwa nadhania kwa muda mrefu tangu nijiunge na CHADEMA, kuwa chama hiki hakitetei maslahi ya umma, bali kinatumia nguvu ya umma kutetea maslahi ya wachache (viongozi ambao wengi wao ni wachaga).Nashukuru kuwa umetamka mwenyewe kuwa CHADEMA walikuwa wanataka madaraka Arusha, na si kutetea wananchi. Mnaua wananchi, mtamuongoza nani.? Kama mmeua watatu jwa kupigania umeya, kwenye urais si mtaua nusu ya TANZANIA?? Demokrasia gani hiyo ya kinafiki.?Hoja zako ni mufilisi ndugu yangu. Eti ulitaka wananchi wa arusha waendelee kuteseka? Kwani wakati mnayafanya hayo hamkujua mtawatesa wananchi?? That is weak argument. WANAFIKI WAKUBWA nyie!
ulikuwa unadhania kwa muda MREFU kuwa CDM haitetei maslahi ya umma na ukajiunga nacho !!!!!! viongozi WACHAGA ( ulitaka wawe wa kabila lako ila hao hawapo sasa hivi wanafukuzana na magamba ) kutaka madaraka ndiyo lengo la chama siasa we vipiiii ???????? walio ua wananchi ni polisi unajua maana ya demokrasia ???? au unaiga kuwa unajua Popote pale penye mgogoro tunatazamia kuona muafaka una take place au hupendi basi hamia CCJ mtafute NAPE akupe kadi ila leo umeniboa mno
 
Back
Top Bottom