Chadema kikiendelea hivi kitakufa natural death | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema kikiendelea hivi kitakufa natural death

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUA GAMBA, Jun 22, 2011.

 1. V

  VUA GAMBA Member

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chama kilichojiita eti cha demokrasia na maendeleo, kimebainika kuwa hakina demokrasia yoyote. Kwenye maandamano ya Arusha walishawishi watu kuingia mtaani kusaka haki zao (mimi sikuenda kazini ili nishiriki kikamilifu)

  mbunge tuliyemuamini sana Godless Lema akasisitiza kuwa ni heri kufa ukiwa unapigania haki yako kuliko kufa kwa malaria au typhoid (ushahidi ninao).

  Mary chatanda alitupiwa lawama akionekana ndiye tatizo, na watanzania wengi tukalazimishwa kuamini hivyo bila kujua upande wa pili kuwa viongozi wa kitaifa wa chadema walikuwa sehemu ya tatizo.

  Chadema walitumia kigezo cha Marry Chatanda kupiga kura kuharamisha matokeo, wakati wao walimtumia Lucy Owenya wa Moshi mjini kupiga kura kumchagua m/kiti wa halmashauri ya HAI.

  Jamani huu ni unafiki usiomithilika. Yani kutujaza ujinga wakati mnaujua ukweli ni dhambi hata mbele ya Mwenyezi Mungu.

  Lakini kilichonisikitisha zaidi ni kuona eti chadema wamekubali matokeo ya umeya wa Arusha kwa kushauriwa na Kohler.

  Huku ni kuzisaliti roho za mashujaa wetu waliotupigania, na kuwakatisha tamaa wananchi tuliokuwa nyuma yenu.
  Nasisitiza kuwa ikiwa CHADEMA wataendelea hivi, chama hiki kitakufa NATURAL DEALTH.
   
 2. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Ukiona Ngedere mjini usipate taabu kujua kafika fikaje...jua ana wenyewe! usimwangushe aliyekufuga bwana Ngedere!
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Acha unafiki wewe.Ulitaka wafanyeje? Waache wananchi wa Arusha tuendelee kukaa na marundo ya taka mitaani? Bajeti ya halmashauri isipitishwe? Ulitaka nini? Unajifanya mwanachadema kumbe ni mnafiki? Ulitaka CCM waache umeya,unaibu meya na uongozi wa kamati zote kwa chadema? Utakuwa ni usuluhishi wa aina gani huo? Ukiwa mkweli ni lazima ukubali kuwa kwenye mazungumzo ya usuluhishi popote penye mgogoro ni lazima ukubali principle ya Lose something and gain something at the same time.Chadema wamelose umeya kwa CCM na wamegain Unaibu meya,awali CCM iling'ang'ana uchaguzi umekwisha na chadema wamepoteza kila kitu.Ulitaka mwafaka wa aina gani wewe? Ulitaka Chadema waingie mitaani na mapanga na mashoka?? Nasema tena acha UNAFIKI.Tuachie Arusha yetu,wewe ni mnafiki na mzandiki.
   
 4. Tajy

  Tajy JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 298
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni mtazamo wako tu!
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hapo kwenye red

  uliwahi kuhudhuria elimu ya watu wazima? au wewe ni mwehu
   
 6. R

  Rutakyamilwa JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2011
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 1,869
  Likes Received: 1,165
  Trophy Points: 280
  Mimi sina undani wa sakata hili, lakini on the face of it kama taratibu za kisheria zilivunjwa kwa kumweka Chitanda kupiga kura, ilibidi walisimamie kufa na kupona because it involves a point of law!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 7. V

  VUA GAMBA Member

  #7
  Jun 22, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sihamii CCM wala CUF. Nitaendelea kubaki CHADEMA, lakini nitasimamia ukweli daima.
   
 8. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,697
  Likes Received: 429
  Trophy Points: 180
  Sijaelewa CDM inahusika vipi kuvunja democrasia na maandamano ya Arusha...unamis link ya maelezo yako.
   
 9. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chadema is a complex function, baby.

  ongelea ccm au vyama vingine, si chadema.
   
 10. Ziada Mwana

  Ziada Mwana JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Heri wewe umegundua utokako na uendako,hivi wale waliokufa kwa ushawishi wa kijinga leo hii kama tukiwapelekea meseji ya nini kinaendelea halafu tuwahuishe na tuwape kadi za chadema unafikiri watazikubali? hiyo ndio mission town, watu wanaishi kwa migongo ya watu.wewe kufa mimi nisurvive. watu watashawishiwa kufanya maandamano haramu ili wajanja wapate la kusema na wajinga waishie selo au kufa.
   
 11. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana na wewe, Ushauri unatakiwa upokelewe na ufanyiwe kazi lakini usitumike kufanyia maamuzi yanayo mfurahisha mtoa ushauri. Ila hata wewe nahisi ni mtu usiyejua unafanya nini, kwanini uliamua kutokwenda kazini ili uandamane kama unafahamu kwamba chadema ni wanafiki na wao walimtumia Lucy Owenya wa Moshi mjini kupiga kura kumchagua m/kiti wa halmashauri ya HAI? mimi nahisi umetumwa uandike upupu hapa jamvini ili wanachadema waonekane mapunguani kama wewe. Ulikuwa na hoja nzuri lakini umeniuzi kwasababu inaonyesha siyo mtu makini kwasababu huwezi kushiriki kufanya jambo ambalo hata wewe wajua siyo sahihi.
   
 12. V

  VUA GAMBA Member

  #12
  Jun 22, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa naamini kile nilichokuwa nadhania kwa muda mrefu tangu nijiunge na CHADEMA, kuwa chama hiki hakitetei maslahi ya umma, bali kinatumia nguvu ya umma kutetea maslahi ya wachache (viongozi ambao wengi wao ni wachaga).Nashukuru kuwa umetamka mwenyewe kuwa CHADEMA walikuwa wanataka madaraka Arusha, na si kutetea wananchi. Mnaua wananchi, mtamuongoza nani.? Kama mmeua watatu jwa kupigania umeya, kwenye urais si mtaua nusu ya TANZANIA?? Demokrasia gani hiyo ya kinafiki.?Hoja zako ni mufilisi ndugu yangu. Eti ulitaka wananchi wa arusha waendelee kuteseka? Kwani wakati mnayafanya hayo hamkujua mtawatesa wananchi?? That is weak argument. WANAFIKI WAKUBWA nyie!
   
 13. F

  FJM JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kwa nini ubaki kwenye chama kinacho-face natural dearth?
   
 14. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #14
  Jun 22, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
 15. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  degreeee si zako na familia yako acha ujinga degreeee kitu gani jenga hoja kama unadegreeeeeeeeee nying halafu unashindwa kujenga hoja ulizipata kitandani nini?
   
 16. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2011
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  CDM haitabadilika na haitakufa.....natural death na siyo dealth utakufa wewe na magamba wenzio....

  hata undani wa suala la Meya Arusha haujaujua bado na hata viongozi wa kitaifa hawajatolea taarifa rasmi..taarifa ulizonazo umezipata kwenye vijarida vya magamba...subiri tamko la Chama utashangaa!
   
 17. K

  Kikwebo JF-Expert Member

  #17
  Jun 22, 2011
  Joined: Aug 25, 2006
  Messages: 352
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Nyie si mlisema hii nchi haitotawalika kama pipoooooooooooooooooooooz power isipo fuatwa! kumbe ulikuwa unaomia enhe!!! tena hapo ni Arusha tu, je kama ingekuwa nchi nzima ingekuwaje?. Kauli mbiu hii imejulikana kama ni feki.

  Kikwebo.
   
 18. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #18
  Jun 22, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Join Date : 14th May 2011
  Posts : 19
  Thanks 0Thanked 0 Times in 0 Posts

  Rep Power : 0

  Ngedere kaingia mjini usiulize katoka wapi?
   
 19. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #19
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Exactly! on arguments we just exchange ideas,opinions.views in a mutual and acceptable standards,abusing is a syndrome to ctrical immaturity
   
 20. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #20
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  wale wale wazee wa posho.........achana nae huyo..........maelezo yake yanajichanganya!
   
Loading...