Niimeona ITV Dr Slaa akiwa Busanda; ilikuwa funika mbaya; mwenye habari zaidi alete; naona kabisa na niseme kwamba msishangae na sasa naona itakuwa hivyo Dr Slaa come 1st Nov, ktk vituo atashinda, wilayani ataongoza, ktk tume kutangaza watakuwa na kigugumizi; by then wananchi watakuwa macho; had Nov 3, atatangazwa rasmi kuwa mshindi wa urais.
Kuna kitu kikubwa; Slaa hajafika mikoani; yuko vijijini tu kwa sasa; hajakanyaga Morogoro,Dodoma,Singida, Arusha, Shinyanga, Mwanza (mijini makao makuu ya mikoa). Second round ni kwenda kukamata; naamini sasa Slaa anachukua; strategy yake ufanisi wake nilikuwa nautathimini ni 95% (efficiency ni 95% ktk mazingira yetu ya ufisadi) mpaka nchi zingine zitakuja kuzisoma ili ikazitumie