CHADEMA Kigoma kaskazini wamefanya yao

CHADEMA Kigoma kaskazini wamefanya yao

Ally mvano

Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
73
Reaction score
24
Mkutano wa Chadema K/Kaskazini umefana sana katika kijiji cha nyarubanda maelfu ya wakazi wamefika kumsikiliza Dr. Yeredi kubusa Kamanda na Mbunge mtarajiwa Kigoma Kaskazini hongera Dr Kwa speech NZURI na ya kisomi
Ni matumain yangu hamtamuangusha
 
Naona umewekewa bandle na Mbowe .
 
ImageUploadedByJamiiForums1428854396.297383.jpg
 
Kama Utaendelea Kuamini Katka Magazeti Radio Na Tv Unaweza Kujikuta Umedanganywa Usishangae Chadema Na Nccr Kushinda Majimbo Mengi Mkoani Kigoma
 
Dr. Yaredi ndo nani mkuu? Sipati kumbukumbu nzuri ya kamanda kama huyo. Najua Mheshmiwa Ali Kirasa ndo alikuwa anatangaza nia
 
Back
Top Bottom