Hapana Molemo acheni ubabe, hii habari haijitoshelezi, msifanye watu kama wameingiwa na mapepo, wawe wanachangia tu vitu hata kama havieleweki kwa vile ziko in favor of CHADEMA.
Hv dwight, wakati unaandika hii thread yako kuna mtu aliyekuwa kakushikia hizo akili zako?! manake siamini mtu ambaye eti anajiita na yeye ni "Great Thinker" akauliza swali la kitoto kama hilo lako! Je, ni kweli hujui au ulikuwa hujui kuwa vyuoni pia siasa zipo ama ni ufidhuri tu & kujifanya hamunazo?!!!
wakati nafurahi chadema kushinda huko UDSM natafakari hizi siasa za vyama jinsi zinavyoenea kwa kasi katika taasisi zetu za elimu na hii inanikumbusha kuwa kuna siku itakuja kuwa chanzo cha machafuko....
mkuu naona huna hoja kabisa na kukaa kimya huwezi tukisema wewe akili yako haiko sawa utabisha?... maana naangali michango yako mingi uliyo anza nayo haina mashiko kabisa...
post 39 zote pumba ... napata hisia hapa si mahali pako ila umelazimishwa.
tutampa credit baada ya kuona amerudisha heshima ya udsm kwa kurudisha mamlaka ya daruso yaliyoporwa boga la kikwete mkandara vinginevyo yeye tumuite boga la mgaya. kama