Misukule wa CHADEMA mna vituko sana.
Siku mabwana zenu wakishinda kesi mnaisifia mahakama na mahakimu. Wakishindwa mnaanza kulalamika kuwa mahakama zinatumika na CCM. Akili zenu bado kupevuka.
Leo mnawapongeza Mahakimu kwa vile wamefanya mnachokipenda? Kweli machadema ni mataahira
Mbona haueleweki? Ina maana wewe ukifikiri hiyo kesi ilikuwa ni ya kweli? Na kama ni ya kweli mbona waliofungua hawakuonekana mahakamani? Au shida ni ushabiki unakusumbua? Sasa si bora ukae kimya,maccm mnajitoaga sana akili na kama siyo polis inawasaidiaga pamoja na tume yenu msinge kaa mshinde ktk uchaguzi.Leo mnawapongeza Mahakimu kwa vile wamefanya mnachokipenda? Kweli machadema ni mataahira
cc: Chabrumacc msalani ni lumumba
Hayo ni maneno ya mvuta bangi si hakimu acha kumsingizia! Weka hapa nakala ya hukumu uumbuke!Ile kesi ya kipumbavu iliyokuwa inasimamiwa na mkuu wa Wilaya John Mongella na mkuu wa Mkoa wa Arusha wakidai naibu meya Msoffe na na diwani wa Levelosi mhe. Nanyaro waliwapiga mgambo na kuwabaka imefutwa baada hakimu kusema ni kati ya kesi za kipuuzi kuwahi kufunguliwa mahakamani hapo.
Ikumbukwe mkuu wa mkoa wa Arusha tarehe 07.08.2014 akiongea na vyombo vya habari alisema lazima madiwani hao washilishwe adabu ili iwe fundisho kwa viongozi wengine.
Hongera CHADEMA, Hongera Nanyaro na Msoffe.
Leo mnawapongeza Mahakimu kwa vile wamefanya mnachokipenda? Kweli machadema ni mataahira
cc msalani ni lumumba
nanyaro tutakuhukumu huku huku mtaani kwa kichapo . Jiandae
power ssssssssssssssssssssssssssssssspeoplessssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss
Nanyaro tutakuhukumu huku huku mtaani kwa kichapo . Jiandae
Mabwana zako wamenishindwa sembuse wewe?
Leo mnawapongeza Mahakimu kwa vile wamefanya mnachokipenda? Kweli machadema ni mataahira
Mtaelewana kwa lipi?