CCM ni gundu tupumambo ya ilani yako huko CCM ,ilani au ileni.
haya ni maoni yaliopo mitaani nini wananchi wanahitaji hayo ya ilani bakieni nayo huko huko mnakosafiri,siku october 2025 Chadema inaingia madarakani basi kipau mbele ndio hicho,miundo mbinu baadae maana ukirudi katika kutengeneza miundo mbinu unatakiwa ulale kwenye kiyoyozi,rudi Bongo uone joto linavyotumaliza.
Mitaani wapi KINONDONI?mambo ya ilani yako huko CCM ,ilani au ileni.
haya ni maoni yaliopo mitaani nini wananchi wanahitaji hayo ya ilani bakieni nayo huko huko mnakosafiri,siku october 2025 Chadema inaingia madarakani basi kipau mbele ndio hicho,miundo mbinu baadae maana ukirudi katika kutengeneza miundo mbinu unatakiwa ulale kwenye kiyoyozi,rudi Bongo uone joto linavyotumaliza.
Kupata vichekesho kama hivyo subscribe huu Uzi.Sina wasi kabisa 2025 CCM inawekwa benchi.
Sasa Chadema tunahitaji mambo haya yawe ya mwanzo...
kama hio tume ingelikuwepo lakini 2025 ni roho kwa roho tuchachoka kuuliwa mmoja mmoja kila mtu itabidi ajilinde kivyake vyake.Bila tume huru ya uchaguzi ni kazi bure mkuu
Tangu 2010 CCM haipo kilichobaki ni tume na polisikama hio tume ingelikuwepo lakini 2025 ni roho kwa roho tuchachoka kuuliwa mmoja mmoja kila mtu itabidi ajilinde kivyake vyake.
CCM ndio kama tunavyowaona wamekuwa wakuu wa misafara.
Huu ndio mwaka wao wa mwisho CCM imetosha ,sasa ni zamu ya Chadema,mitaani CCM hawapo tuwaonao ni wale wale tunaowaona kwenye meza na viti vya mikutano yao,mwananchi gani akaiunge mkono CCM ? Itabidi akapimwe akili.