Nilifikiri Chadema ni machachari Bungeni tu ,kumbe hata hotelini! Sikia hii:
Wenj: mwongozo chumvi haitoshi.
Mnyika, Taarifa mh: mchuzi wa jana huu jamani
Tundi: Kanuni ya17 ,Niliagiza kuku wa kienyeji mbona broila?
Mkabwela: Tuunde tume kama mchele huu ni wa Kyela.
Hatoki mtu humu.