Taarifa zilizopatikana kutoka ndani ya chadema ni kwamba wanachama wa chadema jimbo la arumeru wanapiga kura za maoni ili kumpata mtu ambaye wanadhani ataweza kupambana na magamba hatimaye kushinda.
Kutokana na ukweli huo tunaomba chadema wasijerudia mizengwe kama ya ccm. Hakikisha kila jambo halivunji katiba,kanuni na taratibu ili kutosababisha makundi ndani ya chama na kufanya kampeni kuwa ngumu.
Mbona mgombea kaishapatikana siku nyingi hizo kura ni kujikosha tu, mgombea ni yule aliyefanyiwa harambee na viongozi wa Chadema.

Kwa nini tuukatae ukweli na kutaka kuuthibitisha uongo hili ilitatugharimu mi nadhani ili hili liwe sawa ni bora kusema kinachokwenda kufanyika ni formalities tu and nothing else........... Ukweli ulishajulikana sasa kwa nini kuwekwe tena chembe za uongo........ Kila lakheri Joshua Nassary
kama unalijua hili tatizo lako nini?
na nyie wenu ni yupi ni huyu mkwe wa lowasa au??
Nahuku kutakua na duru ya pili kama magamba..?
Mbona mgombea kaishapatikana siku nyingi hizo kura ni kujikosha tu, mgombea ni yule aliyefanyiwa harambee na viongozi wa Chadema.