Ally Kanah
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 1,479
- 388
chadema haijachangia chochote kwenye maendeleo ya arusha
View attachment 147786
Mchango wetu wa wanachadema huu hapa hamuoni jamani???
chadema haijachangia chochote kwenye maendeleo ya arusha
chadema haijachangia chochote kwenye maendeleo ya arusha
Mlikuja mkatuomba kura,tukawapa,tukazilinda na hatimae pamoja tukashinda.Baada ya uchaguzi mlikuja tena viwanja vya Mbauda kutushukuru wananchi,
Katika kero mlizoahidi mtazitekeleza ni kuhusu urasimu na ufisadi unaofanywa na sombetini youth,wakusanyaji wa taka, nakumbuka vizur mh. Lema aliahidi atatoa gari la taka tractor na wananchi tuchangie mia tano,baada ya hapo siku kadha mh. Bananga alipita akautangazia umma kwamba tutachangia 1000 badala ya 500,tukamuelewa.
Tatizo leo vijana wa Sombetini Youth wako mtaani na migambo wanakamata watu wanaogoma kuwalipa kiwango wanachotaka wao elfu saba na wengine elfu tatu,elfu tano,huu uoenevu na usumbufu mpaka lini?
Tulikuchagua Bananga tukiamini utaweza kutuwakilisha na kusimamia haki zetu,uko hapo ofisini unaona hili jambo.