bananga kwanza ana muda gani tangu mumchague huko ni mapema sana mpeni muda analifanyia kazi
jimbo la arusha mjini.limeshuka sana kiuchumi kutokana na vurugu za chadema. wana sombetini msitegemee lolote kutoka kwa bananga
Tangu Chadema wachukue hatamu kwa Jiji la Arusha, Halamashauri ya Jiji la Arusha imefanya mambo mengi ya kujivunia kuliko hapo hawali
Ukiangalia barabara kwa sasa zimejengwa na kuondoa kero ya msongamano wa magari, nenda Makao Mapya, kuna barabara ambazo zimeondoa kero ya pale Soko la Kilombero na Shoprite kwenda mpaka posta.
Toka Njiro kuna mbadala wa barabara ili uweze kufika mjini kirahisi na hata kama unakwenda Unga Ltd unafika kirahisi kwa kupitia Esso. Ujenzi wa barabara unaendelea na hata hiyo Sombetini kuna lami kitu ambacho hatukutegemea nenda Njiro nenda Majengo.
Tuje kwenye maeneo ambayo yalikuwa yamejaa wachuuzi wadogo wadogo akina mama waliokuwa wanapanga bidhaa zao chini mf. nyanya, parachichi, ndizi mbivu kuku wabichi n.k, Kwa sasa hali ni nzuri na jiji limeongezeka usafi kuliko hapo awali.
Kwasasa bara bara za arusha zina pitika kwa raha mustarehe kabisa. Magari yamepaki kwa utaratibu maalu. Kuna space ya kutosha, bara bara unaiona mwanzo mpaka mwisho kabisa....nazo boda boda zinapaki kwa ustaarabu wa ajabu kabisa....Pia napenda kutoa pongezi zangu za dhati katika hili...
Kwa ujumla hali ya uchumi inakwenda sawa na makusanyo ya kodi yanadhibitiwa, hakuna tena wizi wa hovyo hovyo uliokuwa unafanywa na madiwa wa ccm. Mungu hatupe nini sasa wakazi wa Arusha?
bara bara za arusha zimejengwa kwa msaada kutoka benki ya dunia...acha kutudanganya
bara bara za arusha zimejengwa kwa msaada kutoka benki ya dunia...acha kutudanganya
Mlikuja mkatuomba kura,tukawapa,tukazilinda na hatimae pamoja tukashinda.Baada ya uchaguzi mlikuja tena viwanja vya Mbauda kutushukuru wananchi,
Katika kero mlizoahidi mtazitekeleza ni kuhusu urasimu na ufisadi unaofanywa na sombetini youth,wakusanyaji wa taka, nakumbuka vizur mh. Lema aliahidi atatoa gari la taka tractor na wananchi tuchangie mia tano,baada ya hapo siku kadha mh. Bananga alipita akautangazia umma kwamba tutachangia 1000 badala ya 500,tukamuelewa.
Tatizo leo vijana wa Sombetini Youth wako mtaani na migambo wanakamata watu wanaogoma kuwalipa kiwango wanachotaka wao elfu saba na wengine elfu tatu,elfu tano,huu uoenevu na usumbufu mpaka lini?
Tulikuchagua Bananga tukiamini utaweza kutuwakilisha na kusimamia haki zetu,uko hapo ofisini unaona hili jambo.
Kwa hiyo kwa akili zako ulitaka fedha watoe CDM ndio uone wameleta maendeleo? Hao CCM unaowashabikia unaweza kunitajia Barabara au shule ya Serikali walizojenga kwa fedha za chama?
ulitaka zijengwe kwa msaada wa familia yenu ...silly.
Kwahiyo bank ya dunia ilikuja tu huko inakotoka ikajenga ilipomaliza ikaondoka?bara bara za arusha zimejengwa kwa msaada kutoka benki ya dunia...acha kutudanganya
Kwahiyo bank ya dunia ilikuja tu huko inakotoka ikajenga ilipomaliza ikaondoka?
Huwezi kumchangisha mtu elfu 50 kwa usimamizi wa mgambo, watu tunatofautiana kipato.
Kama wasimamizi wao wameshindwa kutatua wafuate ushauri wa kamanda Lema waandamane, wazoe takataka wakatupe kwa diwani au mbunge.
Iyo ilkuwa Jana,eneo ni mbauda yote na hasara tumeshazipata,nakumbuka ahadi ya mh Lema ya kuroa gari la taka liandikwe bananga taka hero jeronijuze ni mtaa gani wanasumbua na wanapita na mgambo na bei ya kulipa taka ni 1000 kwa kaya ila kwenye maduka,bar,hotel,nk ni sh 3000 na 2nashuhulikia hiyo na 2tawapa majibu 2mefikia wapi
kwa hiyo chadema ndio waliiomba msaada benki ya dunia? msaada uliombwa na serikali.... lipeni ushuru wa takataka acheni kuendekeza uchafu..
Iyo ilkuwa Jana,eneo ni mbauda yote na hasara tumeshazipata,nakumbuka ahadi ya mh Lema ya kuroa gari la taka liandikwe bananga taka hero jero
Bank ya Dunia wanaijua Chadema??!
lema amewaingiza chaka wanasombetini. hakuna cha gari wala bajaj. ha ha ha
Wewe hujitambui,
Hii kazi ya taka ilitangazwa na tender ikapewa mtu. Lema aingize huko tracta na gari kwa mkataba upi??? Msiingie hapa jf kama hamna mada.