mwanzo wetu
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 1,587
- 466
Niombe niwashauli CHADEMA wawe makini siasa zimebadilika sana, Kasulu chadema ilikuwa imekaa sawa ila Jimbo la Kasulu wakiwemo viongoza wa mkoa wanavurugana, Mwenyekiti wa jimbo la Kasulu ndugu Ntahindwa pamoja na mwenyekiti Ndugu Rajabu Bujoro wanadai kumfukuza katibu wao nakutokumtambua ndugu kwasa kwasa , zaidi anadaiwa kukivuruga chama hicho na wakamfukuza hivyo baada ya viongozi wake kumfukuza mkoa wamemkumbatia jambo ambalo limepelekea Viongozi hao wanaompinga kupanga na kuahidi muda wowote kuhamia ccm kwa madai yakushindwa kukaa penye migogoro.
Najuzi katibu Mkuu tz bara mashinji ametoka na ameukuta mgogoro huo akiwa na mwenyekiti was vijana taifa na wawerudi bila kuumalzia jambo litkaloharibu chma baada ya watu hao kuhamia CCM.
Nb:Chadema tujifunze kutatua migogoro yetu bila uathili chama