CHADEMA kampeni Mbagala

CHADEMA kampeni Mbagala

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,493
Reaction score
7,417
Nipo mtaa wa Kimbangulile Ghana(Mianzani-Mbagala), CHADEMA wanaomba kura kwa wananchi,naona kuna Mada Mahugo kaingia CHADEMA
 
Weka na picha basi ndo tukuelewe, Maugo ni nani , ametokea wapi ana mchango gani kwa M4C poa Kamanda endeleeni kupiga kazi tukomboe Taifa
 
Hawa jama mtu mmoja kajiunga katika chama wanavomtangaza utadhani kuna mashindano ya ndondi.
 
Umepost pumba, Maugo yule aliyeuza pambano kwa dola 8000 kule Ulaya
 
kuna mapambio yanapigwa hapo na wauza rozari na biblia wapo kama huwaoni basi sio chadema hao

minazani wanauza hivyo vitabu wameona nyomi kubwa kwenye mikutano ya cdm hivyo wanaaamini wakienda huko watapata biashara....vinginevyo watakuwa watu wanatumiwa na magamba ili ionekane cdm ni chama cha kidini!
 
Back
Top Bottom