CHADEMA kama CCM

CHADEMA kama CCM

No war

Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
26
Reaction score
8
KUTOKANA NA HALI YA KISIASA ILIYOPO KATIKA NCHI YETU YA TANZANIA IMENIBIDI KUCHUKUA UAMUZI WA KUELEZA MAWAZO YANGU KWA WATANZANIA WENZANGU AMBAO NDIO WAATHIRIKA AU WAHANGA AU WASHABIKI WAKUBWA WA SIASA YA TANZANIA AMBAYO INAENDELEA HIVI SASA,HUKU VYAMA VIWILI VYA CCM NA CHADEMA VIKIONEKANA KUWEPO KATIKA CHAT NAMBA MOJA YA VYAMA VYENYE SAUTI KATIKA NCHI HII.
NASEMA VYAMA VYENYE SAUTI KUTOKANA NA VYAMA HIVI KUWA NA IDADI KUBWA YA WAFUASI AU MASHABIKI AMBAO KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE WANAONEKANA KUVIPENDA VYAMA HIVI NA KILA MMOJA AKIDAI KUWA CHAMA CHAKE NDICHO CHENYE NGUVU ZA KUMKOMBOA MTANZANIA,LAKINI JE NI KWELI CHAMA CHAKO CHA SIASA KITAWEZA KUKUKOMBOA ?.
SIKU YA LEO NINGELIPENDA SANA KUONGELEA CHAMA CHA CHADEMA AMBAO KWA MIAKA YA HIVI KARIBUNI WAMEONEKANA KUSHIKA NAFASI YA KUWA NDICHO CHAMA KINACHOPENDWA NA WAFUASI WENGI LAKINI TUKITAZAMA HUKO NYUMA KATIKA MIAKA YA ELFU MBILI TULIONA JINSI CHAMA CHA WANANCHI CUF KILIVYOKUWA NA NGUVU YA UPINZANI KAMA HII WALIYONAYO NDUGU ZETU WA CHADEMA.
CHADEMA WANAONEKANA KUWA NI WATU AMBAO WAMEKUWA WAKOSOAJI WAKUBWA SANA KATIKA NCHI HII KWA KUKOSOA CCM KUWA NI CHAMA CHENYE UFISADI MWINGI KATIKA NCHI.
LAKINI KWA KUTAZAMA KWA PICHA YA MBALI UTAONA KUWA CHADEMA HAWANA TOFAUTI NA CCM NA KAMA CCM NI MAFISADI NA CHADEMA NA WAO NI MAFISADI AU NI MAFISADI WA BAADAE KAMA WATAIPATA NAFASI YA KUTAWALA NCHI HII KUTOKANA NA DALILI ZINAVYOONYESHA.
KWA MFANO,TULIONA HAPO ZAMANI KUWA CCM WALIKUWA WAKIJARIBU KUTUMIA GHARAMA KUBWA KATIKA KUENDESHA KAMPENI ZAO NA LEO HII TUMEWAONA CHADEMA NA WAO WAKINUNUA VIPINDI VYA TELEVISION KAMA WAFANYAVYO CCM.
PIA TUMEONA CHADEMA NA WAO WAKITENGENEZA MUZIKI WA HAMASA KWA CHAMA CHAO KAMA WAFANYAVYO CCM.
MWANZO CCM WALIONEKANA KUTUMIA GHARAMA KUBWA KWA KUWALAZA VIONGOZI WAO KATIKA HOTELI KUBWA KUBWA NA LEO NAKO TUNAWAONA CHADEMA NA WAO WAKILALA KATIKA MAHOTELI MAKUBWA KAMA WAFANYAVYO CCM.
CHADEMA WANAWEZA KUJITETEA KUWA WANATUMIA PESA WANAZOCHANGISHA KWA WAFUASI WAO LAKINI HATA CCM WA LIWAHI KUCHANGISHA PESA WAKATI WAKUPIGANIA UHURU WA NCHI HII NA ENZI HIYO WALIKUWA WAKIITWA TANU LAKINI BAADA YA KUKAA MADARAKANI KWA MUDA MREFU WALIBADILIKA KAMA KINYONGA NA KUANZA UCHAKACHUAJI NA HATA CHADEMA NA WAO NDIO WALE WALE WACHAKACHUAJI WAPYA KWANI HATA HIVYO SIKU ZOYE MTOTO WA FISI HAWEZI KUWA SWALA ATAKUWA FISI TU.
KWANI HATA VIONGOZI WA CHADEMA SI WALITOKA HUKO HUKO CCM,SASA KWANINI WASIWE KAMA CCM WAKATI NA WAO NI WAZAWA NA WENYE DAMU YA UFISADI,EBOO
NB:KUNA WAFUASI WA CHAMA FULANI KATI YA HIVI VIWILI HAWACHELEWI KUPOROMOSHA MATUSI KWA HIVYO NAYATEGEMEA SAAAAAAAAAAAAANA KWA WALE WASIOKUWA WASTAARABU.
Huu ni muda wa kujenga nchi yetu.
 
umesema kweli kabisa mkuu! Binafsi ni kijana ambaye hadi sasa sina itikadi ya chama chochote. Nimebahatika kukaa na vijana wa cdm na matarajio yao sasa nayajua na mwisho sikuona tofauti ya cdm na ccm. Wanachofanya cdm ni mazingira ya wao nao waje wafanye ufisadi. hadi sasa tumeshuhudia watu ndani ya chama wakichotea mihela na hawatki kuhojiwa. Unajua ni heri zimwi likujualo halikuli likakwisha kuliko lile lisilokujua litakumaliza. Ifano ni michache tu! Si unaona cdm wanatafuta umaarufu kwa damu za watu zinapomwagika? Huu umaarufu wa kafara na je wakishika nchi?
 
CCM imechokwa jamani hata muipambe kwa kitu gani haipambiki. Ni bora mavi kuliko CCM, CCM ni laana kwa watanzania.
 
umesema kweli kabisa mkuu! Binafsi ni kijana ambaye hadi sasa sina itikadi ya chama chochote. Nimebahatika kukaa na vijana wa cdm na matarajio yao sasa nayajua na mwisho sikuona tofauti ya cdm na ccm. Wanachofanya cdm ni mazingira ya wao nao waje wafanye ufisadi. hadi sasa tumeshuhudia watu ndani ya chama wakichotea mihela na hawatki kuhojiwa. Unajua ni heri zimwi likujualo halikuli likakwisha kuliko lile lisilokujua litakumaliza. Ifano ni michache tu! Si unaona cdm wanatafuta umaarufu kwa damu za watu zinapomwagika? Huu umaarufu wa kafara na je wakishika nchi?
Kama katika ujana wako unaona CHADEMA wanatafuta umaarufu kwa damu za watu ukizeeka utakuwa mchawi na kuchaa.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
umesema kweli kabisa mkuu! Binafsi ni kijana ambaye hadi sasa sina itikadi ya chama chochote. Nimebahatika kukaa na vijana wa cdm na matarajio yao sasa nayajua na mwisho sikuona tofauti ya cdm na ccm. Wanachofanya cdm ni mazingira ya wao nao waje wafanye ufisadi. hadi sasa tumeshuhudia watu ndani ya chama wakichotea mihela na hawatki kuhojiwa. Unajua ni heri zimwi likujualo halikuli likakwisha kuliko lile lisilokujua litakumaliza. Ifano ni michache tu! Si unaona cdm wanatafuta umaarufu kwa damu za watu zinapomwagika? Huu umaarufu wa kafara na je wakishika nchi?

tafuta kamusi ya kiswahili uone neno "kikopo" halafu baada ya hapo jiulize mtu akikwambia fulani au wewe ni mtoto wa kikopo
 
mkuu CHADEMA siyo chama cha siasa ni genge la wahuni tu.
 
mkuu chadema siyo chama cha siasa ni genge la wahuni tu.
Ila vijana wa CCM mna akili nyepesi sana.....umeelewa kilichoandikwa kwweli...? wakati mwingine mnaona ni sifa lakini sio sifa ni ujinga...? tumieni akili walau kidogo basi.....kama hawa us mnao wasifu wangekua na utani utani hivyo wasinge pata hiyo heshima tunayowapa....mjifunze kujibu hoja kwa hoja.......au muwe mnapita hata fox news, msnbc,c na nctv muangalie vijana wenzenu wa kimarekani na nchi nyingine wanavyo chambua hoja...USHAURI TU....Vijana wa LUMUMBA badilikeni...
 
ukitaka kuamini CHADEMA hamnazo hawa vijana wa CDM ni wezi na hawana dira wala mwelekeo.Hebu tafakari kama sasa bado hawajashika Nchi hawa vijana wanatembea na mihuri bandia ya CHAMA chao na kuitumia katika wizi au utapeli wa kuuzia kadi za CHADEMA je wakichukua nchi sio ndio itakuwa balaa!!!!! nadhani wataweza kutembea na mihuri ya vizazi na vifo ili kubambikia watoto wanao zaa na wanafunzi hawa au kusababisha kuvunjika kwa ndoa za Watu. CHADEMA ni mafisa Ngumi watarajiwa .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom