Taarifa zilizo nifikia za kuaminika ni kwamba ccm kuanzia juma tano wataanza kupita nyumba kwa nyumba wakigawa fedha.taarifa imepatikana katika kikao cha pamoja na mgombea wa ccm mohamedraza kilicho fanyika katika shehia ya mpapa.hii inawezekana kwa sababu jimbo la uzini lina wapiga kura 8000 na hivyo inawezekana kuwa honga wote.pamoja na mipango yao hiyo ya rushwa cuf nao badala ya kuomba kura wanaitukana chadema na juzi usiku walikuwa katika shehia ya umbuji wakigawa kanga.kuna tetesi kwamba kamanda mbowe na dr slaa wanaingia kuanzia ijumaa kuongeza nguvu.ukombozi ni sasa na chadema msikatishwe tamaa na watu ambao wamevaa miwani ya mbao na masikioni wameweka pamba na kwa bahati mbaya na wengine wamo humu jf kwa masikitiko makubwa mtu yeyote mwenye akili timamu haungi mkono magamba.haya wambea lete pumba au hoja!