Chadema juuuuuuu jimboni Serengeti

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Katika uchaguzi mdogo wa Diwani kata ya stendi kuu jimbo la Serengeti Chama cha demokrasia na maendeleo chadema kimeibuka kidedea baada ya kuwapiga chini wagombea wenzake wa CCM na CUF.
 
Safi sana. Siku hizi hata wale akina mama na wazee ''mbumbumbu'' wanajua haki zao. Ukipeleka rushwa ya pesa, T-shirt etc wanalamba na kwenye ballot box wanafanya kweli. Siku hizi wanajua kwamba CCM haitaweza kumtambua nani ambaye hakuipigia kura!
 
Back
Top Bottom