kingukitano
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 1,971
- 497
Kwa utafiti nilioufanya katika mitaa na vijiji vya Chalinze,CHADEMA watavuna aibu itakayo wakatisha tamaa mbaya,Ridhwani Kikwete ameonekana kukubalika Sana na kuungwa mkono na Rika zote,kijana anatajwa kuwa mwenye misimamo na asiyeyumba katika mahitaji ya Umma,
Suleiman Maneno anasema,Unakua kaka Ridhwani Ni kijana na nikuambie huyu anaonekana kukubalika kwa wapiga kura kuliko hata wsna ccm waliopita,
CHADEMA natoa tahadhari mapema,kuliko kupiteza raslimali,Kijana Kikwete Ridhwani atawaangusha vibaya Sana.
Nilitoa tahadhari hii kupitia kaka yangu Abdul Kazi juu ya kalenga mkanitukana,sasa tukaneni lakini Chalinze Ni pagumu kuliko kalenga.
Songa Ridhwani,
Wewe Ni Mzalendo na kijana mnyenyekevu.
Wstakao puuza waraka huu wasubiri matokeo.