Kodi Ipi Sasa Mbona Haufafanuwi Hapo!!!?? Maana Kama Kodi Za Serikali Hapa Ndio Hoja Msingi Kwetu, Weka Evidence TUJADILIANE Na Tuombe Serikari Iwachukulie Hatua!!! Kama Sio Za Serikari, Hayo Majungu, Uzushi, Fitina, Propaganda Na Siasa Majitaka Ipelekwe Kule Kwa Wanaowalipa Kutengeneza Propaganda Hizo Na Kuwalipa Posho!!! HIVI Kweli Kwa AKILI Ya Kawaida, Sio Iliyotokana Na Shule, Na Sio Mchumia Tumbo Wala Msukule!! HAINGII Akilini Eti, Mtu Amepanga/ Amekodi Chumba, Nyumba, Ofisi, Godauni, Yadi Au Fremu, Alafu Anaweza KUKWEPA Kulipa KODI Ya Sehemu Husika!!!!? MUNGU Wangu Wanusuru Watu Wako, Njaa Imewazidia Na Wameguka Watu Hatari, Kwa Fitina, Majungu, Chuki, Propaganda, Uzushi Na Uongo!! Ndio Njia Yao Ya Kujipatia Riziki!!!