Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
CHADEMA haiwezi shinda jimbo la bukoba mjini, Hamuwajui wahaya nyie, hawapendi watu vigeugeu kama Lwakatale
Huyu jamaa hakubaliki au ndo ule mtindo wa ndiyo mzee utashinda tu!? Jamaa anaonekana kuwa na wakati mgumu! lakini sera ndo inabidi azimwage kama hajipendi vile. Inapige apige domo haswaaaaa!
CHADEMA haiwezi shinda jimbo la bukoba mjini, Hamuwajui wahaya nyie, hawapendi watu vigeugeu kama Lwakatale
Omutwale,Sblandes na wengine, jueni hili; Kagasheki hajawahi shinda kwa kura! Na jimbo la Bk mjini halijawahi kukabidhiwa kwa upinzani labda pale mgombea anapokuwa hana mahusiano/maelewano mazuri na chama (M) na manispaa. Ktk mazingira ya sasa Rwakatare ana advantage ya mazingira ndani ya chama na mahusiano mabovu ya Mbunge na Manispaa.