CHADEMA jifanyieni tathmini

Hakuna ulinzi ulio wa 100%.

Hata ulinzi wa rais si wa asilimia 100.

Indira Gandhi aliuliwa na walinzi wake wenyewe. Laurent Kabila naye aliuliwa na mlinzi wake.

Lakini hiyo haimaanishi kwamba viongozi wasilindwe.
 
So unaona mwenyewe majibu.
Ni mlinzi Gani nchini anaweza kukulinda dhidi ya Agizo toka Juu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ni nchi ya Amani na tulizoeshwa hivyo .

Mambo ya siraha za moto wala hayasaidii kitu kama watu wakiamua kukumaliza...

Hivi unajua karume aliuawa na nani vile?.....

Siafiki swala la kulindana kwa siraha za moto .
 
Walikua wanamlinda Wema Sepetu kwa mbweeembwe.....

+Ila kile kitengo walichokitengeneza enzi za Dr. Slaa ilikua matata sana
 
So unaona mwenyewe majibu.
Ni mlinzi Gani nchini anaweza kukulinda dhidi ya Agizo toka Juu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hilo agizo kutoka juu ni usadiki wako tu. Huna ushahidi nalo. Kama unao, uweke hapa.

Licha ya hivyo, haimaanishi mtu usijiandae kwa kujihami.

Unachosema wewe ni sawa na kusalimu amri.

Cowardice mentality.
 
Tanzania ni nchi ya Amani na tulizoeshwa hivyo .

Mambo ya siraha za moto wala hayasaidii kitu kama watu wakiamua kukumaliza...

Hivi unajua karume aliuawa na nani vile?.....

Siafiki swala la kulindana kwa siraha za moto .

Kwa hiyo unachosema hakuna kabisa haja wala ulazima wowote ule wa kujilinda kwa sababu kama watu wameamua kukumaliza watakumaliza tu?

Sorry dude, I'd rather die on my feet fighting for my life than on my knees begging for it to be spared.

No guts, no glory.
 
Mbona na nyie hampambani na hali yenu na mnaitegemea polisi iwakamate walohusika?

Nyie wafuasi hamna akili kabisa.

Mnachojua na mnachoweza ni kuzungusha mikono tu.
Kwani polisi wanalipwa kwa ajili ya nini?
 
Polisi hawawezi kuwepo kila mahali, kila wakati, na kwa kila mtu.
Hapo nakubaliana na wewe! lakini haiondoi ukweli kwamba hata kama Chadema wataweka ulinzi kwa viongozi wao bado jukumu la jumla kwa polisi na serikali ni kuhakikisha usalama kwa wananchi wote ikiwemo viongozi wa Chadema. Kwa hiyo Chadema kuwategemea polisi sio hisani!
 
naungana kabisa na wewe.ni uzembe wa hali ya juu kuacha mtu kama Lissu bila ulinzi. Chadema kwa hili mkubali mmechemka.

bunge la tanzania ni "rubber stamp" ya serikali ya magufuli
 
Hilo agizo kutoka juu ni usadiki wako tu. Huna ushahidi nalo. Kama unao, uweke hapa.

Licha ya hivyo, haimaanishi mtu usijiandae kwa kujihami.

Unachosema wewe ni sawa na kusalimu amri.

Cowardice mentality.

Kakaaaa , Open your EYeS and see what has been transpired.

Hii unayoiya Cowardice mentality ndio Fact sasa. Hizo nyingine mbwembwe.

Unfortunatelly, Nyie wasomi mnasomeshwa ili kuwapotosha wananchi kwa nadharia zenu zilizojaa Uoga, Unafiki na kujikomba.

Mkuu kasema waziwazi bila kupepesa macho kua hii Ni vita...na wasaliti na kawaida, adhabu yao ni kifo.

Speech yake alipoongea na wabunge imekua unpopular.
We are no Fool, we all know What The president is alluding to..

Huihitaji kusomea PHD ili ku- forecast the next move.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikweli kabisa ,,ilibidi awe na ulinzi hata kama hawatokuwa na silaha za moto,,lakini hata gari ambayo watakuwanayo ni siraha Tosha muda mwingine
 
Mkuu ulipotelea wapi maana mawazo yako humu jf yanahitajika sana. Tatizo la hawa wenzetu wakiambiwa ukweli wanahamisha goli. Halafu wanawasema wenzao wa ccm. Taabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…