You are right! Majibu ya hoja za Chadema si za kukurupuka!Watu Makini huwa hawakurupuki, wanakokotoa na kupitia vielelezo vyao ili wakijibu wasitoe siasa bali watoe vitu venye ushahidi wa kutosha
Naunga hoja Mkuu!Watu Makini huwa hawakurupuki, wanakokotoa na kupitia vielelezo vyao ili wakijibu wasitoe siasa bali watoe vitu venye ushahidi wa kutosha
Jana waziri wa Utumishi Management ya Umma Hawa Ghasia, jana kaituhumu Chadema mbele ya Bunge.
Kadai bajeti yenu ni til 9(ingawa kama nakumbuka ilikuwa ni til 13), kwa mujibu wa Waziri Ghasia, mkilipa
mishahara ya wafanyakazi kima cha chini laki tatu kumi na tano(Tsh 3015000) mtabakiwa na til 1, Je serikali
gani inaweza kuongozwa kwa til `1??{Bajeti kizuli ya wizara ya utumishi wa umma ilisomwa na Suzan Lyimo}
Na yy Waziri kasema wazi kwamba Chadema acheni kudanganya wafanyakazi(wananchi).
Magazeti ya leo sijaona sehemu yoyote kuhusu Chadema kukanusha haya maelezo ya Waziri. Je ni kweli bajeti yenu
iliongopa?? Mkiifumbia mamcho hii hoja bila majibu yenye mashiko tuwaeleweje Chadema??
Naomba Dk Slaa, Mh Zitto Kabwe au kiongozi yoyote atoe jibu hapa.
Angalizo: Hapa nisingependa majibu kwamba eti madini tunayo, sijui rasilimali, mara posho zitafutwa,hapana!! Majibu yaendane na hoja ya bajeti yenu mbadala mliyowasilisha bungeni na kutaka kima cha chini kiwe kiasi hicho mlichokitaja.
Watu Makini huwa hawakurupuki, wanakokotoa na kupitia vielelezo vyao ili wakijibu wasitoe siasa bali watoe vitu venye ushahidi wa kutosha
ndugu huwezi kumuomba mh.Zitto au hata dr akajibu mada za kukurupuka,mfano hapo juu umesema laki tatu kumi na tano elfu lakini tarakimu zinaonesha unamaanisha milioni tatu na kumi na tano elfu yan 3,015,000/= nani hakuelewe? Hata figure zenyewe si sahihi. Pia nakushauri uisake mwanahalisi iliyotolewa baada ya rais kutoa hotuba wakati akiongea na wazee wa dar baada ya mgomo wa walimu,alipotaja kuwa hata kwa mabomu na bunduki mtafanya kazi,walichanganua hesabu vizuri.
CAMARADERIE ahsante kwa kunirekebisha!! til means tillion!! Hapa wCDM waje na Majibu sahihi plz
Ghasia kapiga siasa sana, kama utafikiria vizur baada ya kusoma bajeti ya upinzani na vyanzo vya mapato utagundua yeye ndo kapotosha umma. Yule mama ni kilaza sana, na hajibu hoja kwa hoja anajib kwa hisia.
Ni kweli unayoyasema, lakini mbona naona kama kuna hoja ya msingi hapo??au hesabu zao wamekokotoaje??
Kilichonisikitisha zaidi, Ghasia kawakebehi kwam kujigamba kwamba hata yy kasomea mambo ya uchumi na
anawashangaa wachumi wa Chadema na kudai wamechukua namba na kuzipachika tu. Hiko kitu hakiwezekani.
CAMARADERIE ahsante kwa kunirekebisha!! til means tillion!! Hapa wCDM waje na Majibu sahihi plz