Chadema itashinda uchaguzi Uzini Zanzibar na CUF kwa heri !!!!

CDM kushinda jimbo la Uzini ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano!
Tukubali tu Uzini tumekwenda kuitangaza CDM. Uzini na Igunga ni sawa na Usiku na
mchana, magamba watapeta.

Yasiyowezekana kwa Mwanadamu kwa Mungu yanawezekana.

Sina uhakika kama wewe ni mmoja wa makamanda. Vinginevyo, kama wewe ni kamanda your loyalty to the Party is questionable!!!
 

upupu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ni sawa na CUF kusema wanaichukua jimbo la Arusha mjini au Hai kwa mbowe!!
 
Uzini wataikataa CDM kwa vile Lisu alisema Wazenji wanadekezwa hivyo watakuwa wameikacrikia CDM! Ila Chama watakuwa wanalikubali!
 
Mleta mada ungetuletea taarifa huku ukithibitisha kwa analysis kidogo ili tupate picha namna gani umetathimini ushindi wa CDM
 
CDM kushinda jimbo la Uzini ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano!
Tukubali tu Uzini tumekwenda kuitangaza CDM. Uzini na Igunga ni sawa na Usiku na
mchana, magamba watapeta.

basi kama uzini ni kama igunga ngoma itakuwa rahisi kwa cdm maana huko igunga haikufahamika kabisa na kilichotokea kila mtu anajua.. naamini zile vurugu za ccm igunga hazitakuwepo uzini hivyo cdm kuchukua kwa urahisi bila mizengwe..
 


Kumbuka kuwa maneno hayafi bali yanakuwa.

Tazama usije kusutwa siku ZEC ikitoa majibu na watu kushangilia pale round about michenzani.

yetu macho.
 

hizi ni ndoto za mchana! Chadema wao wazidishe nguvu bara visiwani kumejaa uzanzibara na udini! Plain simple..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…