Chadema itakufa lini ?

Kifo cha chama cha cha siasa ni kukosa wanachama jambo ambalo halipo Chadema

2020 mnaweza kupora majimbo yote na madiwani wote lakini chama kikaendelea kuwa na raslimali watu wa kutosha kabisa

Ccm inaiogopa sana Chadema kama ukoma ndio maana magufuli akisikia mahali kuna wanachama wa Chadema wanahani msiba hupeleka jeshi kuwatawanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha chama mfu tena kimeshazikwa lakini bado dikteta anaogopa nguvu yake na kuja na mikakati ya kidikteta ikiwemo kutumia vyombo vya dola ili kukimaliza!!!
Huyu ngabu siku hizi amekuwa mjinga sana hana tena uwezo wa kujenga hoja zaidi ya ushabiki uliojaa ujinga mwingi, siku hizi hana tofauti na wale wajinga wengi waliojaa pale Lumumba fc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ilishindwa kufa CCM mwaka 2015 Basi Chadema haifi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha chama mfu tena kimeshazikwa lakini bado dikteta anaogopa nguvu yake na kuja na mikakati ya kidikteta ikiwemo kutumia vyombo vya dola ili kukimaliza!!!
Chadema si mchezo ! kura milion 3.5 unusu dhidi ya wapiga kura karibu mil 20 ni lazima uogope sana ! sijui kama unanielewa mkuu
 
Reactions: BAK
Kuna nabii mmoja alitabili kufa kwa chadema matokeo yake alikufa yeye kisiasa tena kwa kugaragazwa na mtoto wa kike
In God we Trust
 
Wewe ndiyo unaye fikiri hivyo kwakuwa ni mmoja wa wachawi mnao tumiwa na malaika wenu ili kuhakikisha cdm inakufa na kuzikwa msivyokuwa na haya
In God we Trust
 
Kuna nabii mmoja alitabili kufa kwa chadema matokeo yake alikufa yeye kisiasa tena kwa kugaragazwa na mtoto wa kike

In God we Trust
Kwa Wakurya ni aibu kubwa sana kwa mwanaume kushindwa na mwanamke katika jambo , labda iwe kusonga ugali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…