Chadema isonge mbele

Hivi unajua ulichoandika au ni chuki binafsi zakusumbua?Au unafikiri kwa kutumia makalio au ndio yale ya kichwa cha samaki??Idd Amin na Hitler walikuwa wapinzani au watawala???Kama chadema kimejaa damu kwa nn chama tawala kimeshindwa kuwatia hatiani????Uzinzi,wizi,majungu hayo ni maisha ya chama cha mizigo.Nyonyonyo~nyonyonyo~nyonyonyo!Mwee!!!.

Inauma sana hasa unapopenda ambapo wengine wanapaona pabaya

kuna mpaka mababa madikteta, kuwa dikteta sio lazima chama kiwe tawala

wewe huwezi kumshauri mbowe lolote la maana akakuelewa, huwezi kumshauri slaa. uwezo wako na mwisho wako ni kupinga ukweli wa upepo........hauzuiliki

chadema ni genge la wahuni wachache wanaitumia fursa ya CCM kuchukiwa na kujipatia hela.PERIOD
 
Mbowe na Slaa wamewashika pabaya ambapo mlikuwa hamtegemei,hao ndio kiboko yenu hadi mchutame na mawazo yenu mgando.Na kwa taarifa yako upepo unaovuma ni wa mabadiliko iwe isiwe kwa jasho na damu na pia usisahau 'wasaliti lazima watoswe'."mtataga".
 
Back
Top Bottom