CHADEMA isitishe maandamano

CHADEMA isitishe maandamano

Kwa faida ya maisha ya watu.

Isitishe maandamano kwa faida ya nani? Mbona kila mmoja kaingia upepo? Fedha inayoliwa Dodoma ni nyingi sana .....haivumiliki......
 
2Q==

Watu wakishakufa na kupata ulemavu mnaenda kucheka na kunywa juisi Ikulu.Ikumbukwe Kikkwete ndiye amiri jeshi mkuu mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama nauliza hivi mnapokwenda Ikulu mnakumbuka kumuuliza Rais Kikwete juu ya maisha ya waTanzania yaliyopotea bila sababu za msingi au mkishakunywa juisi na kutimiza malengo yenu ya kupata madaraka mnaondoka kifua mbele.
 
B.JPG

Nakumbuka mazishi ya Dada yetu mpendwa Judith aliyeuwa na bomu uwanja wa Soweto Arusha maneno mengi yaliongelewa lakini mwisho wa siku hakuna chochote walau hata kumbukumbu tu nayo shida ila muda wa kwenda kunywa juisi Ikulu upo.Dada Judith katumiwa kama daraja la kukiinua chama wenye chama wameshamsahau lakini sisi huku site bado tuna kumbuka.

Ukiangalia katika picha Lema na Grace Kiwelu wameng'ang'ania jeneza kwaajili ya picha na kuzidi kupata umaarufu hawajui watoto wa Judith wanakula nini,wanavaa nini nani analipa ada ya shule na nk......Ukimuuliza Lema aliwahi kukanyanga Sokoni I lini utabaki kinywa wazi.Sana sana watakwambia wana mkanda wa tukio zima na jinsi vyombo vya dola vilivyohusika huu ni unafiki wa hali ya juu.Ikiwa mkanda upo wanauweka mpaka lini aua wanataka kutengeneza kalenda.....
 
A.JPG

Heshima aliyopata Dada Judith ni jeneza lake kuwekwa bendera ya CDM sijui inawasaidiaje watoto wake ?.Halafu leo viongozi wale wale wanakuja na hoja ile ile ya maandamano wakati mpaka leo sijaona wakiangaika kwenda kwenye mahakamani au kwenda ICC hatakama haiwezekani lakini wawewamejaribu.Hata kumbukumbu imewashida ?.Mbona wanahabari wameanzisha tunzo ya mwanahabari mwenzao aliuwawa kule Iringa !.Huko Ikulu mnakokimbilia kila siku kwenda kunywa juisi wakati mnajua Rais Kikwete alimpandisha cheo Andengenye baada ya kazi nzuri Arusha hivi mnadhani waTanzania wana kumbukumbu ndogo kama kuku.
 
Mkuu Ngongo mbona hukuwaambia BMK waache kuchezea pesa za walala hoi??
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Bulldog nisome vizuri bandiko # 1 nimesema wazi vikao vya Dodoma limekosa uhalali wa kuwepo kwake,limejivika kazi za tume ya kukusanya maoni na mwisho nikasema halina maana kabisa.Ikiwa halina maana kabisa maana yake fedha wanazotumia zingepaswa kupelekwa maeneo mengine,pengine ni lugha tu tunapishana.

Laiti CDM wangeonyesha kuwajali wale wote waliopoteza maisha,waliopata ulemavu kwa maana ya kuhakikisha wanawapatia msaada wa kisheria,kuhakikisha ajenda ya waliokufa katika mikutano ya siasa inapewa umuhimu wa juu siku zote hakika leo hii ningekuwa mtu wa mwanzo kabisa kuunga mkono maandamano yao.

Mkuu Ngongo mbona hukuwaambia BMK waache kuchezea pesa za walala hoi??
 
Ngongo uko sahihi lakini pia hawa CHADEMA wanapata upinzani mkubwa sana...Unakumbuka Operatioy ya M4C ilisitishwa baada ya Serikali na jeshi la polisi kuwa na mkakati maalum wa kuua katika mikutano ya CHADEMA...Usidhani kuwa hawajui...ila wanajitahidi kuwa kwenye defensive side mara nyingi na Offensive mara chache...mkuu....Katika mapambano haya najua maumivu ni makubwa sana...But muda huu sio wa kukata tamaa........One day yes mkuu...Ila kitu kimoja nakuhakikishia kama kuna mmoja kati yao viongozi wa CHADEMA hana nia ya dhati katika struggle hii...Daima damu ya waliofariki itamlilia...CDM ina damu za watu mkuu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Freeland wanahabari wameanzisha tunzo ya kumbukumbu ya Daud Mwangosi hata hili limekuwa jambo gumu kufanywa na CDM ?.CDM ina wanasheria wengi ambao wako tayari kwenda mahakamani kutetea wabunge wa CDM lakini wanasheria hao hao wameshindwa kutumia taaluma yao kupigania haki za familia za marehemu waliouwawa katika mikutano na maandamano yao.Nakumbuka familia ya marehemu Lt Gen Kombe ilidai fidia serekali ni kwanini jambo hili halifanyiki kwa wanafamilia wote waliopoteza ndugu zao katika mikutano na maandamano au tukisha weka bendera katika majeneza ndio basi ?.

C.JPG

CHADEMA inashindwa hata Mchg Mtikila ?.Mahakama kuu ipo,mahakama ya rufaa ipo,mahakama ya Afrika mashariki ipo,mahakama ya Afrika ya haki za binadamu ipo tena makao makuu ni Arusha nini kinawashinda kwenda huko mbona mna muda wa kwenda Ikulu kuongea mambo yayotimizwa ?.
 
Ngongo,

..hawa wanapimana misuli.

..sasa upande ule utakaovunjika moyo ndiyo utashindwa.

..kama CDM wanataka mabadiliko basi wanatakiwa waandamane mpaka polisi/ccm wakate tamaa na kuamua kukubali yaishe.

..bila hilo kutokea basi usitegemee mabadiliko yoyote yale ya maana nchi hii.

NB:

..kwasababu wahanga wa utawala mbovu na wakikatili wa CCM ni wananchi hohe-hahe basi tabaka hilohilo ndilo linalopaswa kuwa mstari wa mbele and sometimes even pay the ultimate price ktk mapambano dhidi ya dhuluma.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Freeland wanahabari wameanzisha tunzo ya kumbukumbu ya Daud Mwangosi hata hili limekuwa jambo gumu kufanywa na CDM ?.CDM ina wanasheria wengi ambao wako tayari kwenda mahakamani kutetea wabunge wa CDM lakini wanasheria hao hao wameshindwa kutumia taaluma yao kupigania haki za familia za marehemu waliouwawa katika mikutano na maandamano yao.Nakumbuka familia ya marehemu Lt Gen Kombe ilidai fidia serekali ni kwanini jambo hili halifanyiki kwa wanafamilia wote waliopoteza ndugu zao katika mikutano na maandamano au tukisha weka bendera katika majeneza ndio basi ?.

C.JPG

..askari aliyemlipua Mwangosi amefikishwa mahakamani na kesi yake inaendelea.

..suala la familia ya Mwangosi kudai fidia linategemea hukumu itakayotolewa kwenye kesi hiyo.

..pia kuna hatari kwamba ikiwa CDM watakuwa mstari wa mbele kudai fidia kwa niaba ya familia ya Mwangosi, basi CCM na serikali wataamua kesi hiyo kisiasa.

..mwisho, hivi kwanini tunawalaumu CDM ktk suala hili na siyo Raisi, serikali, na CCM? Raisi Kikwete amempandisha cheo kamanda aliyekuwa incharge siku Mwangosi ameuawa. What does that tell you?

Freeland, Pasco, Manyerere Jackton
 
tutaendelea kuandamana mpaka haki itakapopatikana muda wa ukombozi umekaribia chadema tutazidi kusonga mbele daima
 
Ngongo,

..hawa wanapimana misuli.

..sasa upande ule utakaovunjika moyo ndiyo utashindwa.

..kama CDM wanataka mabadiliko basi wanatakiwa waandamane mpaka polisi/ccm wakate tamaa na kuamua kukubali yaishe.

..bila hilo kutokea basi usitegemee mabadiliko yoyote yale ya maana nchi hii.

NB:

..kwasababu wahanga wa utawala mbovu na wakikatili wa CCM ni wananchi hohe-hahe basi tabaka hilohilo ndilo linalopaswa kuwa mstari wa mbele and sometimes even pay the ultimate price ktk mapambano dhidi ya dhuluma.

Chadema wanakera sana wanapoamua kurudi kwenye mazungumzo na watu wasioaminika .....bora yatangazwe maandamano ambayo hayajapata kushuhudiwa ili tuone matunda ya mabadiliko na si kusitisha kwa ahadi za peremende .....
 
..hata mimi naona wakati mwingine Mbowe yuko too soft.

..CDM ninayoiota mimi ni itakayoongozwa na radical kama Tundu Lissu.

cc Ngongo
 
Last edited by a moderator:
Isitishe maandamano kwa faida ya nani? Mbona kila mmoja kaingia upepo? Fedha inayoliwa Dodoma ni nyingi sana .....haivumiliki......

Vipi ruzuku na misaada anayokula Mbowe na Slaa haikuumi?
 
Mkuu JokaKuu kitendo cha viongozi wa upinzani kwenda Ikulu kunywa juisi na mtu wanayejua dhahiri ndiye aliyetoa amri ya askari kutupa mabomu hovyo,kupiga risasi wananchi wasiokuwa na silaha ndio kimenifanya nianze kuwatilia shaka hawa viongozi wetu wa upinzani wanaodai kwenda kunywa juisi Ikulu. Mimi siwaelewi kabisa hawa mikakati madhubuti,hawana lolote.Hoja ya mauaji ya wananchi ingesimamiwa vizuri hakika leo hii hakuna polisi angekubali kutumiwa hata kidogo.Tazama mifano ya maRPC waliosimamia zoezi la mauaji leo wako wapi wengine kidogo wangeukwaa uIGP.

..askari aliyemlipua Mwangosi amefikishwa mahakamani na kesi yake inaendelea.

..suala la familia ya Mwangosi kudai fidia linategemea hukumu itakayotolewa kwenye kesi hiyo.

..pia kuna hatari kwamba ikiwa CDM watakuwa mstari wa mbele kudai fidia kwa niaba ya familia ya Mwangosi, basi CCM na serikali wataamua kesi hiyo kisiasa.

..mwisho, hivi kwanini tunawalaumu CDM ktk suala hili na siyo Raisi, serikali, na CCM? Raisi Kikwete amempandisha cheo kamanda aliyekuwa incharge siku Mwangosi ameuawa. What does that tell you?

Freeland, Pasco, Manyerere Jackton
 
Last edited by a moderator:
Every revolution has sacrifices; hakuna mapinduzi yasiyokuwa na wahanga! mapinduzi yoyote dunia yamefanikishwa na watu jasiri wenye maonu mapana na mioyo mikubwa sio wenye roho biskuti kama wewe! siasa za hisia za kusikilizia kwa mbali unazofanya wewe hazitufai; kaa pembeni wanaume watende kazi utadandia bogi huko twendako. Bs.

Mkuu umeongea point sana!
 
Mkuu JokaKuu kitendo cha viongozi wa upinzani kwenda Ikulu kunywa juisi na mtu wanayejua dhahiri ndiye aliyetoa amri ya askari kutupa mabomu hovyo,kupiga risasi wananchi wasiokuwa na silaha ndio kimenifanya nianze kuwatilia shaka hawa viongozi wetu wa upinzani wanaodai kwenda kunywa juisi Ikulu. Mimi siwaelewi kabisa hawa mikakati madhubuti,hawana lolote.Hoja ya mauaji ya wananchi ingesimamiwa vizuri hakika leo hii hakuna polisi angekubali kutumiwa hata kidogo.Tazama mifano ya maRPC waliosimamia zoezi la mauaji leo wako wapi wengine kidogo wangeukwaa uIGP.

..sasa hebu nikuulize: mkakati wa Raisi, na CCM, unaelewa? Je, umeridhika nao?

..halafu wakati mwingine ni wa-Tz wenyewe tunaowashinikiza Ukawa wakazungumze Ikulu, halafu Raisi asipotekeleza yale waliyokubaliana tunawalaumu Ukawa.

..hivi kwa akili za kawaida, bunge la katiba lilipaswa kuendelea baada ya makubaliano yaliyofikiwa kati ya vyama vya upinzani na Raisi? Kwanini hatumlaumu Samuel Sitta kwa kiburi anachokionyesha kwa Raisi? Kwanini hatumlaumu Raisi kwa kumdekeza Samuel Sitta? Badala yake kwanini tunawalaumu Ukawa?

cc MTAZAMO
 
Last edited by a moderator:
Mkuu JokaKuu ukisoma mababandiko ya Mkuu Nguruvi3 utatambua vikao vya Ikulu havina tija yoyote zaidi ya kuwapoteze muda na kumbisha mikakati ya UKAWA.Sidhani kama kiburi cha Sitta ni chake yeye kama yeye hapana nijuavyo mimi tayari kulikuwa na mikakati ya CCM kuhakikisha wanapitisha katiba bila kufuata rasimu ya Mzee Warioba.Rejea vikao vya kamati kuu ya CCM na matamko ya Kinana na Nape Nnauye.So kama UKAWA walijua Kikwete asingeweza kwenda kinyume cha kamati kuu ya chama chake ni kwanini UKAWA walikuwa nawalilia kwenda Ikulu ?.Kikwete huyu wa sasa hasa ubavu wa kukataa matakwa ya chama chake hasa ukizingatia muda wake unazidi kuyoyoma.

Back
Top Bottom