Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 16,946
- 62,742
Leo tu Magufuli kapiga Nyamikoma, nyashimo, masanza , magu, kahangara, nyaguge, kisesa, Igoma, national, buzuruga mabatini na kesho atakua furahisha.
Nitajie lissu juzi, jana na leo kapiga mikutano mingapi kama sio mitatu.
If it’s too late, mgombea wenu jpm asingechanganyikiwa na kutoa vitisho kwa wapiga kuraToo late to catch the bus.
Lissu bado hajaanza kampeni. huko kote alikokwenda ni uzinduzi tu kafanya na ukichunguza utaona tayari keshaenda mikoa mingi zaidi kuliko mgombea wetu wa CCM!Leo tu Magufuli kapiga Nyamikoma, nyashimo, masanza , magu, kahangara, nyaguge, kisesa, Igoma, national, buzuruga mabatini na kesho atakua furahisha.
Nitajie lissu juzi, jana na leo kapiga mikutano mingapi kama sio mitatu.
Hata hujaelewa utaratibu wa Kampeni za Chadema, kwa sasa walianza na Kanda kwanza, kinachofuata Sasa ni Kampeni Mtaa kwa Mtaa, na Sasa wamemwahi Magu kufika katika miji mikuu yote meaning kazi ya Magufuli Sasa ni kwenda katika maeneo hayo alikowahiwa kujitetea na kujisafisha, hawezi tena kunadi Sera zakeKwa sasa muelekeo wa kampeni kwa CHADEMA japo ni mzuri sana lakini hicho chama lazima kiwe makini mno na strategy yao ya sasa ya kukamata Miji. Ndiyo maana unaona wanaruka kwa ndege kutoka mji mmoja kwenda mwingine.
Hata hivyo ukiangalia Strategy ya CCM
1. Kwanza imetengeneza front zaidi ya moja, kuna ya waziri Mkuu, na Makamu wa Rais
2. Kuna front ya Magufuli
Hii strategy ni hatari sana kwa sababu wanawafikia watu wengi sana
Pia kuna hili suala la Magufuli kupita katika viunga vya miji kwa gari na kuweka mikutano kabla ya kuingia mijini, hii inasaidia sana kupata kura pembezoni miji mahali ambako CHADEMA hawafiki.
Kitu kingine ni kuwa CHADEMA isidharau technic ambayo CCM wanatumia ya kusomba watu kutoka kwenye viunga vya miji na kuwaleta mikutanoni, hawa watu ni wajumbe wazuri wa kusambaza ujumbe kwa wenzao huko watokako.
CHADEMA inabidi ifanye yafuatayo
1. Kila kanda Isambaze vijana waende nyumba kwa nyumba.
2. Itengeneze front zaidi ya moja ya kampeni na ziende kwa barabara na kuweka mikutano mingi nijiani kadri iwezeanavyo.
3. Ije na comprehensive media stratergy, japo tumepiga kelele sana juu ya suala hili nashangaa Chadema inashidwa kutumia hata smartphones za awaida na kuchukua video za mikutano live na kuirusha kwenye social media LIVE, mbona hii ni rahisi sana!
Asikudanganye mtu, kuwa na sera nzito peke yae haitoshi, Inabidi uwafikie watu wengi zaidi. CCM wanawafikia watu wengi kutokana na kutumia fronts nyingi, rafu kwenye access ya media na network yao pana.
CHADEMA inabidi ipandishe game yake iwe ni nyumba kwa yumba, mtaa kwa mtaa, mkoa kwa mkoa.
Sasa hivi CHADEMA ipo kwenye level ya mkoa kwa mkoa. Je mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba lini?
Mpaka Sasa Chadema wanafanya uzinduzi wa kampeni kikanda. Kesho wanamalizia Zanzibar. Baada ya hapo kampeni ya Kijiji kwa Kijiji inafuata.Leo tu Magufuli kapiga Nyamikoma, nyashimo, masanza , magu, kahangara, nyaguge, kisesa, Igoma, national, buzuruga mabatini na kesho atakua furahisha.
Nitajie lissu juzi, jana na leo kapiga mikutano mingapi kama sio mitatu.
Unachoongelea kingekuwa very meaningful kama mambo yote yangekuwa determined na ballot box alone. Unfortunately, kama tulivyoona wagombea walivyoenguliwa kwa sababu za kipuuzi, ballot [emoji994] will be just a formalities....Kwa sasa muelekeo wa kampeni kwa CHADEMA japo ni mzuri sana lakini hicho chama lazima kiwe makini mno na strategy yao ya sasa ya kukamata Miji. Ndiyo maana unaona wanaruka kwa ndege kutoka mji mmoja kwenda mwingine.
Hata hivyo ukiangalia Strategy ya CCM
1. Kwanza imetengeneza front zaidi ya moja, kuna ya waziri Mkuu, na Makamu wa Rais
2. Kuna front ya Magufuli
Hii strategy ni hatari sana kwa sababu wanawafikia watu wengi sana
Pia kuna hili suala la Magufuli kupita katika viunga vya miji kwa gari na kuweka mikutano kabla ya kuingia mijini, hii inasaidia sana kupata kura pembezoni miji mahali ambako CHADEMA hawafiki.
Kitu kingine ni kuwa CHADEMA isidharau technic ambayo CCM wanatumia ya kusomba watu kutoka kwenye viunga vya miji na kuwaleta mikutanoni, hawa watu ni wajumbe wazuri wa kusambaza ujumbe kwa wenzao huko watokako.
CHADEMA inabidi ifanye yafuatayo
1. Kila kanda Isambaze vijana waende nyumba kwa nyumba.
2. Itengeneze front zaidi ya moja ya kampeni na ziende kwa barabara na kuweka mikutano mingi nijiani kadri iwezeanavyo.
3. Ije na comprehensive media stratergy, japo tumepiga kelele sana juu ya suala hili nashangaa Chadema inashidwa kutumia hata smartphones za awaida na kuchukua video za mikutano live na kuirusha kwenye social media LIVE, mbona hii ni rahisi sana!
Asikudanganye mtu, kuwa na sera nzito peke yae haitoshi, Inabidi uwafikie watu wengi zaidi. CCM wanawafikia watu wengi kutokana na kutumia fronts nyingi, rafu kwenye access ya media na network yao pana.
CHADEMA inabidi ipandishe game yake iwe ni nyumba kwa yumba, mtaa kwa mtaa, mkoa kwa mkoa.
Sasa hivi CHADEMA ipo kwenye level ya mkoa kwa mkoa. Je mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba lini?
Kutafuta wadhamini ile ilikua ni strategy 1 ya kujitangaza ya lisu tayari,ile imesaidia maana alipita maeneo mengi kwa gari.saiv ajikite tu yale maeneo ambayo hajatia mguu badoKwa sasa muelekeo wa kampeni kwa CHADEMA japo ni mzuri sana lakini hicho chama lazima kiwe makini mno na strategy yao ya sasa ya kukamata Miji. Ndiyo maana unaona wanaruka kwa ndege kutoka mji mmoja kwenda mwingine.
Hata hivyo ukiangalia Strategy ya CCM
1. Kwanza imetengeneza front zaidi ya moja, kuna ya waziri Mkuu, na Makamu wa Rais
2. Kuna front ya Magufuli
Hii strategy ni hatari sana kwa sababu wanawafikia watu wengi sana
Pia kuna hili suala la Magufuli kupita katika viunga vya miji kwa gari na kuweka mikutano kabla ya kuingia mijini, hii inasaidia sana kupata kura pembezoni miji mahali ambako CHADEMA hawafiki.
Kitu kingine ni kuwa CHADEMA isidharau technic ambayo CCM wanatumia ya kusomba watu kutoka kwenye viunga vya miji na kuwaleta mikutanoni, hawa watu ni wajumbe wazuri wa kusambaza ujumbe kwa wenzao huko watokako.
CHADEMA inabidi ifanye yafuatayo
1. Kila kanda Isambaze vijana waende nyumba kwa nyumba.
2. Itengeneze front zaidi ya moja ya kampeni na ziende kwa barabara na kuweka mikutano mingi nijiani kadri iwezeanavyo.
3. Ije na comprehensive media stratergy, japo tumepiga kelele sana juu ya suala hili nashangaa Chadema inashidwa kutumia hata smartphones za awaida na kuchukua video za mikutano live na kuirusha kwenye social media LIVE, mbona hii ni rahisi sana!
Asikudanganye mtu, kuwa na sera nzito peke yae haitoshi, Inabidi uwafikie watu wengi zaidi. CCM wanawafikia watu wengi kutokana na kutumia fronts nyingi, rafu kwenye access ya media na network yao pana.
CHADEMA inabidi ipandishe game yake iwe ni nyumba kwa yumba, mtaa kwa mtaa, mkoa kwa mkoa.
Sasa hivi CHADEMA ipo kwenye level ya mkoa kwa mkoa. Je mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba lini?
Alisha catch kabla hataa ya kampeni kuanza rasmi,ile kutafuta wadhamini ilikua ni strategy mojawapo.Alipita maeneo mengi kwa gariToo late to catch the bus.
Alisha catch kabla hataa ya kampeni kuanza rasmi,ile kutafuta wadhamini ilikua ni strategy mojawapo.Alipita maeneo mengi kwa gari
Hio imemfanya kazoeleka sana,anaonekana hana jipya,ndio maana mikutano yake haina tension kubwa.Amsha amsha hakunaMagufuli kapiga style ya Lissu ya kutafuta wadhamini kwa miaka yote mitano😁😁