Chadema isisahau uchaguzi katika majimbo haya:


Chapakazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2009
Messages
2,880
Likes
11
Points
135

Chapakazi

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2009
2,880 11 135
Baada ya NEC kuhairisha uchaguzi wa wabunge katika majimbo ya Nkenge, Mpanda Mjini na Mpanda Vijijini, ningependa kujua kwanza kama Chadema ina wagombea huko? Pili, kama inayo...ingefaa sana ipeleke timu timamu katika kuhakikisha inachukua haya majimbo!
 

Chapakazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2009
Messages
2,880
Likes
11
Points
135

Chapakazi

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2009
2,880 11 135
Mpanda Mjini wagombea ni:
SEBASTIAN KAPUFI - CCM
SAID ARFI -CHADEMA
EZEKIA NDEMMANYA - CUF

Mpanda Vijijini:
MOSHI KIKOSO - CCM
MUSSA MASANJA - CHADEMA
CHARLES MAKOFIRA - NCCR

Bado sijapata jimbo la Nkenge. Ni mkoa gani huu?
 

Forum statistics

Threads 1,203,746
Members 456,939
Posts 28,127,595