CHADEMA is no longer 'Peoples Power'


wewe siyo kijana usijivike ujana pasi unamawazoo yaliozeeka sawa
 

Wakati mwingine vyema ujilazishe ulale wakati jua linawaka.
 

nakugongea 1000 like#hapakazitu
 

Inasikitisha kuona vijana wakitanzania wakilaghaiwa na watu wale wale waliotufikisha hapa tulipo.....

Nakubaliana kabisa na kuimarusha mafunzo ya JKT maana bila vijana kuandaliwa kizalendo ipo siku atakuja "alien" kuwanunua nao wakakubali na kumtawaza siyo tu kama kiongozi bali mfalme...

Hii siyo ya kuifanyia mzahaa kama Taifa tuna hitaji afirmative programmes kwa vijana kurudisha uzalendo!
 
sawa mkuu,ila huo ndiyo ukweli,bora fisadi mmoja kuliko kiwanda kizima cha mafisadi.

Uambie moyo wako na akili yako hao mafisadi walio baki ni washirika wa nani? Je miongoni mwa uliowahi kuwasikia wakitajwa ni yupi anaambatana na Pombe?

I can imagine common sense is not common!

Taifa ni zaidi ya chama watanzania wenzangu....tusidanganyike.
 
Uda = Usafiri Dar es Salaam
Ni sehemu ya Ufisadi wa Serikali ya CCM
 

sasa hivi watoto wadogo wanaimba mabadiliko....na #hapakazitu bila kujua wanachokiimba ni nini...inasikitisha kwani taifa linajengwa na ushabiki badala ya hoja na ajenda za msingi!!ukiuliza mtanzania ana value zipi unashindwa kupata jibu!!

Vijana na fikra za kiuandishi wa habari!!!
 
Reactions: Ame
umenena hapo. ila wataipenda 0ct 25. hapa ni kazi tuuuu
 
Na uvimbe upasuke...Mizoga kutoka ccm iko meza kuu ya chadema ngastuuka!

Hii inachekesha kama si kusikitisha. Tunapo ongelea ufisadi waCCM, tuna maanisha EPA, RICHMOND, ESCROW, TANGOLD na mengine mengi. Nyie mnamng'ang'ania Lowassa kwa RICHMOND! Hao wengine ambao wako bado CCM vipi? Au RICHMOND ndiyo ililamba pesa nyingi kuliko ESCROW? Ni mahaba ya CCM, vichwa vya nazi au buku tano?
 
Au Rais wa kwenye tamthilia ya matuamini na mabadiliko!!

Na mvimbe mpasuke

Uraisi sio michezo ya kuigiza.mr comedian a.k.a mr pushups akafanye nini ikulu?kule hakuna maigizo.it is a serious business!
 

Wamefikia mahala wanawapatia watu viroba, alafu wanafanya mambo ya ajabu sana, kama kilichotokea musoma na mwanza ni dharau kubwa sana kwa watu wa Mara na Mwanza, inamaana Arusha, Dar, Mbeya na sehemu zingine ni wajanja sana kuliko watu wa Musoma na Mwanza.
 
Hujui kuandamana ni haki ya kila mtu kikatiba? unadhani kuonekana chama kinafanya vizuri mpaka kiwe na jengo kubwa la ofisi?
Sio bure unatumika wewe,mwambie aliyekutuma hatudanganyiki na kura zote ni kwa LOWASSA na UKAWA.Wewe unajifanya unaijua Tz,muulize Kingune aliyekuwa na kadi namba 08,kaondoka CCM,sembuse wewe mwenye kadi yenye namba 18,456,678.Huoni tofauti kati yako na waliotaka kwenye chama chako nani anakijua chama?? Ningekuona wa maana kama ungetulia kimya na kufuata mambo yako na chama chako kinachokuweka mjini,lakini sio kufuata mambo ya wengine,utapigwa Nyosso!!!!!!!!!!!!


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…