Chadema ipo kazini kuliko ujuavyo

Chadema ipo kazini kuliko ujuavyo

CHADEMA wakiona huu umati roho zinawauma sana, kijana kweli ndio alikua anakubalika kwenye ile Saccoss hebu angalia hili nyomi ujiulize chama hakina hata miezi.
View attachment 244955
View attachment 244956
View attachment 244957

Kijana,umati siyo kukubalika,hebu tuambie tangu zito ameanza mikutano yake ni wanachama wangapi wamechukua kafi za act?jibu ni hakuna,ndipo ujue wananchi wanamchora tu hata mimi akija kwetu nitaenda kumsikiliza,hicho chama kinakufa hizo pesa zikiisha.
 
View attachment 244966
IMG_20150412_171129.jpg
IMG-20141231-WA0026.jpg
Hapo vipi ACT haiwezi kushindana na moto wa CHADEMA.
 
1.Topic haiusiani na ulichoandika ndani
2.Unasahau kitu kimoja,linganisha uwezo wa ZZK na hao wengine wote utapata jibu.
 
Hahahahahahahaha wachaga mmeanzisha threads ya kufarijiana nilishawaambia saccos yenu nyie wachaga mwaka huu ndo mwisho kutafuna ruzuku,Kafulila alishasema laana ya udini na ubaguzi itawatafuna tu,chungulieni leo Mwanza maajabu ya Mwami Mtemi Mazengo

Akili ya mjinga huwa mawazo ya kijinga.
 
Naomba kuelimishwa......hivi kuna ACT Wazalendo na ACT Tanzania???
 
Kijana,umati siyo kukubalika,hebu tuambie tangu zito ameanza mikutano yake ni wanachama wangapi wamechukua kafi za act?jibu ni hakuna,ndipo ujue wananchi wanamchora tu hata mimi akija kwetu nitaenda kumsikiliza,hicho chama kinakufa hizo pesa zikiisha.

we huna lolote kabisa mkioneshwa takwim mbn mzee slaa ttamuua kwa presha sema tu ACT hatutaki msjigambo wanachama kibao kwel
 
Hahahahahahahaha wachaga mmeanzisha threads ya kufarijiana nilishawaambia saccos yenu nyie wachaga mwaka huu ndo mwisho kutafuna ruzuku,Kafulila alishasema laana ya udini na ubaguzi itawatafuna tu,chungulieni leo Mwanza maajabu ya Mwami Mtemi Mazengo

CHADEMA wakiona huu umati roho zinawauma sana, kijana kweli ndio alikua anakubalika kwenye ile Saccoss hebu angalia hili nyomi ujiulize chama hakina hata miezi.

Ndiyo maana nasema ACT NI CHAMA CHA KIDINI, KIKABILA NA KIKANDA. KINAENDESHA HARAKATI ZA KIDINI NA KIKABILA. NI SACCOS YA ZITTO INAYOENDESHWA KWA FEDHA ZA CCM?
 
1.Topic haiusiani na ulichoandika ndani
2.Unasahau kitu kimoja,linganisha uwezo wa ZZK na hao wengine wote utapata jibu.

Acheni ujinga nyie wafuasi wa ZITTO. VYAMA VYOTE VILIVYOJENGWA NA UMAARUFU WA MTU HUFA KABLA YA WAKATI. BILA ZITTO ACT HAINA WATU. WALIOPO MKUTANONI NI WANASISIEMU WANAOPIMA MPANGO WA KUUA CHADEMA UTAFANIKIWA WAONGOZE HELA ZA KUFADHILI ACT? KUNDI JINGINE NI LA WANACHADEMA WANAOFUATILIA WAJUE MATUSI YA ZITTO.
 
we huna lolote kabisa mkioneshwa takwim mbn mzee slaa ttamuua kwa presha sema tu ACT hatutaki msjigambo wanachama kibao kwel

Wenye elimu ndogo kama wewe huwa wafuasi wa mtu si chama. Kibaya zaidi ufuasi kwa mtu msaliti kama Zitto.
 
Ndgu stanlthecreator, ni hoja dhaifu sana kuendelea kucrame kuwa chadema ni chama cha wachaga hadi leo. Hoja yako haina mashiko nenda kalale. Kwa sisi waelewa hatuwezi kuhangaika na mtu mwenye akili kama ya kwako
 
Back
Top Bottom