Chadema ipo kazini kuliko ujuavyo

Chadema ipo kazini kuliko ujuavyo

Richard Robert

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
632
Reaction score
340
Anayepanga kuivuruga CHADEMA kwa sasa amechelewa. Huwezi kuua CHADEMA kwa siku 120. . Nguvu ya mtu mmoja kupambana na maelfu ya watu ni kupoteza muda.
Vyama vyote vilivyojengwa juu ya umaarufu wa mtu mmoja viko ukingoni:
1. DP ~ MTIKILA(HAKINA HATA MBUNGE);
2. UDP ~ CHEYO (NI MBUNGE WA MWISHO);
3. NCCR ~ MREMA ALIPOONDOKA KIMEPONA;
4. TLP ~ MREMA NI MBUNGE WA MWISHO;
5. ADC ~ HAMAD RASHID ANAONGOZA AKIWA CUF - HAKINA MATUMAINI.
6. ACT ~ TANZANIA - LIMBU BADO ANAKIPIGANIA.
7. ACT - WAZALENDO ~ ZITTO ni chama na chama ni zitto. Bila yeye hata mkutano mmoja hauendi. Bado kinapigania uhalali kwa msajili kupitia mlango wa nyuma.
 
Chadema ipo kazini. Si mbeya tu ni nchi nzima
 
Attachments

  • 1429460370501.jpg
    1429460370501.jpg
    57.8 KB · Views: 1,314
  • 1429460436614.jpg
    1429460436614.jpg
    78.3 KB · Views: 1,078
  • 1429460471293.jpg
    1429460471293.jpg
    57.3 KB · Views: 1,005
  • 1429460519686.jpg
    1429460519686.jpg
    78.6 KB · Views: 1,000
Hivi ni vikao vya ndani. Ndani ya CHADEMA KILA MTU NI JEMBE. CHAMA KINAPIGANIWA NA WANACHAMA SI WANA-CCM! UFADHILI NI KUTOKA KWA WANACHAMA SIYO MILIONI 700 TOKA CCM.
 
Chadema ni zaidi ya uijuwavyo, Hao wana tumiwa na CCM kufanya mikutano mijini tu then wanafikiri ndio wanaweza kuiwa CHADEMA.
 
.... Cdm Imepitia Wakati Mgumu Sana, Ugaidi Wa Kutunga, Mara Usaliti Wa Zzk, Lakin Tutafika Tu.
 
Hahahahahahahaha wachaga mmeanzisha threads ya kufarijiana nilishawaambia saccos yenu nyie wachaga mwaka huu ndo mwisho kutafuna ruzuku,Kafulila alishasema laana ya udini na ubaguzi itawatafuna tu,chungulieni leo Mwanza maajabu ya Mwami Mtemi Mazengo
 
hapo ndipo ulipoishia
 
Hapa ndio ukomo wa uwezo wako kufikiria
 
Hivi nyie watu wa CCM B (ACT wasaliti) mnafikiri watanzania bado wengi ni wajinga kiasi cha kuwaaminsha na huyo zito wenu kuwa nyie ni chama pinzani?.Ndani ya siku 45 zijazo mtavuliwa nguo peupeee!!
 
Ninaimani na Chadema, nina imani na Ukawa! Vyama vingine hivi kiongozi mmoja tu akibanwa ngili ndo kwisha habari yake!
 
Hahahahahahahaha wachaga mmeanzisha threads ya kufarijiana nilishawaambia saccos yenu nyie wachaga mwaka huu ndo mwisho kutafuna ruzuku,Kafulila alishasema laana ya udini na ubaguzi itawatafuna tu,chungulieni leo Mwanza maajabu ya Mwami Mtemi Mazengo

hata ss waha tupo chadema..CHADEMA n mpango wa MUNGU
 
CHADEMA wakiona huu umati roho zinawauma sana, kijana kweli ndio alikua anakubalika kwenye ile Saccoss hebu angalia hili nyomi ujiulize chama hakina hata miezi.
ImageUploadedByJamiiForums1429466964.825377.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1429466981.926292.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1429466997.522117.jpg
 
Back
Top Bottom