CHADEMA inavyonufaika na watu smart

Mkuu sema kabisa tena kwa herufi kubwa kuwa, wanatumia BUNDUKI i.e SMG na AK47 kupambana na hoja badala ya midomo yao na pamoja na kuwa vi PhD vyao na siyo nguvu tu za misuli....!!
Hao wanaotumia bunduki kumdhuru mtu na hao wanaokuja kutumia huyo aliyedhuriwa na bunduki kwa manufaa ya kisiasa wanatofauti gani?
 
Chadema ni akili kubwa sana ! Labda nikushike sikio kidogo tu kwamba tulichokitumia ni robo tu ya tulichonacho .
Ni kweli unachosema,maana sasa chadema wanaweza kutumia ugonjwa wa kujinufaisha kisiasa hatuwezi kujua wakipata serikali watatumia nini kwa manufaa yao.
 
Tukisema chadema ni chagaland mnabisha, mushi, unategemea aongee nini??
 
Mtu yeyote mwenye akili zinazojitegemea ambae tumbo halimshawishi awaze kwa kutumia makalio yake hawezi kuitetea au kuishabikia CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…