CHADEMA inavyonufaika na watu smart

Kumbe miccm napo kuna watu makini kama wewe, sasa mbona mnashindwa kujibu hoja za Chadema kwa hoja na badala yake mnatumia nguvu ya policcm? Kwa kuwa inaonekana upo makini washauri miccm wenzio waweke silaha chini tujibizane kwa hoja.

Mkuu sema kabisa tena kwa herufi kubwa kuwa, wanatumia BUNDUKI i.e SMG na AK47 kupambana na hoja badala ya midomo yao na pamoja na kuwa vi PhD vyao na siyo nguvu tu za misuli....!!
 
No hivi ccm maanake ni chakavu sasa kituchakavu kinakuaje smart ?
 
Hongera kwa uchambuzi mzuri! Umenifumbua macho kweli CHADEMA ni SMART! Hasa walipoamua kumtoa kafara Tundu Lissu ili kuzima kiki ambayo Magufuli na CCM walitarajia kuipata kutokana na ripoti ya Tanzanite na Almasi! Nasubiri kuona matokeo ya albadiri ya jana kuwa haitawaacha salama watu SMART.
 
Kumbe miccm napo kuna watu makini kama wewe, sasa mbona mnashindwa kujibu hoja za Chadema kwa hoja na badala yake mnatumia nguvu ya policcm? Kwa kuwa inaonekana upo makini washauri miccm wenzio waweke silaha chini tujibizane kwa hoja.
Heheee! Hapo ccm hawakubali kuweka silaha chini hata kwa ngumi.
 
Their intelligents are very very low and low and low.
 
CCM bila polisi hawana ubavu wa hushindana kwa hoja na Chadema na UKAWA kwa ujumla. Hata wao wanalijua hilo. Nani huko CCM anaweza kushindana kwa hoja na LISSU, Msigwa, Lema, Mbowe, Mnyika, N.K?
 
Hata wewe mwandishi you are smart, huenda ni wewe peke yako ndani ya CCM yenu
 
Umepiga palepale.

No Question[emoji3]
 
Uchambuzi wako unavutia sana maana hukutoa tusi bali umetoa ushauri mzuri sana, nafikiri ccm watayachukua hayo mawazo na kuyafanyia kazi
Badala ya kuyachukua na kuyafanyia kazi watachukua SMG na kumtafuta aliko. Ni watu basi hawa??
 
Nilijuaga ulaya wanaenda watu smart, toka huko unachafua hali ya hewa huko
 
Naona mmeamua kujifariji, ni jambo jema, naamini CHADEMA ya jf ni hatari sana, ila kiuhalisia acha linganisha CHADEMA na CCM, CCM ni chama ambacho kina taratibu kama chama, acha CHADEMA ipo kama kagenge flani kakupiga kelele.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…