CHADEMA inavyonufaika na watu smart

Kwa mara ya kwanza, naona uzi kutoka mtu wa "CCM" ambao kila Comment imeupa Kongole. Mujarabu!
Heko Mwandishi....
 
ccm usmart wao unatafsiriwa kwa kiwango chao cha kutumia vyombo vya dola na watu wasiojulikana katika kuendesha nchi......Ndo maana watu km Mwigulu aliye apa kutoa ushahidi duniani na mbinguni kuhusu ugaidi na jitu km BASHITE lililompiga hata mzee WARIOBA na kuvamia kijeshi kituo cha clouds WANAPEWA MIVYEO....
 
Umeandika mapovu Mengi sana lakini huwaulizi Viongozi wa CDM Ruzuku wanapeleka wapi maana hata ofisi ya Taifa wameshindwa kujenga!!
 
Mkuu unasahau kuwa at the end of the day, ni yule anayekupa kura yako ndio ana make the difference!!
Usijidanganye sana na usmart wako, mjinga mbumbumbu ndo atakuingiza kingi!!!
 
We jamaa kama kweli ni Inzi wa Kijani basi uko vizuri sana katika mitazamo ya fitna za siasa za bongo ...

Ila umeshaa ... isipokuwa kwenye swala la usmart ni kweli kabisa ... sio kwa barua ile ya tarehe 7 August badala ya tarehe 7 September ...

Usmart hakuna imebaki kukurupuka tu ...
 
Thadei Ole Mushi, najua unajua. Ila kibaya huku kwetu nikuwa na makundi, na wengine kujiona bora kuliko wengine. Ila andiko lako limeeleweka, subiri kuitwa sio mzarendo.
Chadema wenzio ukweli huu hawaupendi
 
duuuu we jamaa ni smart aisee, bila watu wa mikakati chadema wamekuona, nashauri wahakikishe unakuja kuongeza usimart ndan ya chama pendwa cdm.daa kiukwel umeona mbali mkuu.
 
Kumbe ni kweli kwamba Chadema wanatumia ugonjwa wa Lissu kujinufaisha kisiasa?Ina maana hapa kuna kuhatarisha maisha ya mtu kwa manufaa ya chama

Huo ndiyo usmart wenyewe???
 
Hapa umerihirisha kuwa hivi ndivyo walivyo Chadema na tunapaswa kuwaepuka kama ukoma


Puppet wa kisiasa wanaotumika na maadui wa maendeleo yetu. Kwa maana yako hapo juu ni kuwa kila move wanayofanya ni planned and some are framed waki target kuipaka matope Serikali huku wakitafuta huruma za kisiasa huko nje. Hawa ni wabaya sana na hawana nia njema na Taifa hili japokuwa tunawasikia wakiimba uzalendo lkn ni machui yaliyovaa ngozi za kondoo.
 
Unatarajia nini kwenye kundi ambalo kiongozi wake anajiona anajua kila kitu na hataki kupitwa? Wakikuona wewe ni smart wanakuondoa usije ukawazadi kwa kupendeka
 
Kumbe ni kweli kwamba Chadema wanatumia ugonjwa wa Lissu kujinufaisha kisiasa?Ina maana hapa kuna kuhatarisha maisha ya mtu kwa manufaa ya chama

Huo ndiyo usmart wenyewe???
Hata polepole ameitumia hii fursa kumpongeza mbunge.
 

Watakusifia. Ila mimi sijakubaliana nawe. Ungesema kwanza. Watz wengi wapiga majungu. So majungu ndo mtaji wa sasa wa chadema. Matangazo kila siku wamejua. Lakini mwisho mtauona tu ndo ntajua nani Smart. Chunguza 2015. mmi niko Ulaya na nilijua kabisa CDM watapata wabunge wengi. Lakini sasa wote wamekuwa wasemaji wa taifa. Na humu ukiwasema utaskia ahhh barabara kazi ya Serikali wakimaanisha kuwa yeyote anaweza kuwa mbunge. Basi Pigo La 2020 mtashangaa. Mark my words.
 
Hongera sana mkuu kwa uchambuzi yakinifu. Maandiko matakatifu yanasema mwenye haki Mungu anamstawisha kama mtende. Hivyo tutarajie kuona CHADEMA kikiendelea kustawi siku hadi siku kwa kuwa ni chama kinachopigania haki kinyume na CCM.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…